April 1st (Fools Day): What if April fools day was really on April 2nd au siku nyingine yoyote and they've been fooling us the whole time?

April 1st (Fools Day): What if April fools day was really on April 2nd au siku nyingine yoyote and they've been fooling us the whole time?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
83487743-0DC1-4A23-A32F-65E257522D27.jpeg


Ukizungumzia hii siku basi unazungumzia, siku ya kuwafanyia vibweka watu na vituko mbalimbali.

Huadhimishwa tarehe moja April , kwa kufanya mzaha au kituko chochote mbele ya mtu au kumlaghai juu ya jambo fulani.

Na mtu yoyote atakejisahau hii siku akaingia mkenge basi hugeuzwa kenge wa hii siku na kuingia kundi lile la kuitwa Wajinga.

Pengine nmekuzindua mapema hapa leo ili kesho usije kutana na dhahma bin shari.

Nakumbuka miaka ya utoto nilimshamlizaga Anko wangu 50, kwa masihara ya kumdanganya ngombe wa jirani Anauzwa. Kuna kastori katikati hadi akaingia kwenye nyuzi 360 na kuchomolewa 50k baada ya kugundulika kilichonipata ni Malaika wa Mungu tu Gabriel na wenzie ndiyo walikuwa watetezi wangu
😅😅

Kesho tunaweza kushuhudia mengi

Unaweza kutumegea kisa hapa kama uliwahi kuingizwa mkenge kwenye siku hii na ilikuwa kwa namna ipi?

LAKINI, JE?

What if April fools day was really on April 2nd au siku nyingine yoyote and not April 1st
😅😅
And they've been fooling us the whole time, na hatuelewi kinacholea

INAKUAJE?

Its called April fools Day for Reason!
 
Only a FOOL can ask himself, so it’s for FOOLS and I ain’t One.
 
Watu sasa hivi wako bize na Pesa maisha magumu Ukimzingua mtu na haya ma fool Day anaweza kutoa Uhai wako bure!! Tuwe makini Tusife kimasihara..
 
Watu sasa hivi wako bize na Pesa maisha magumu Ukimzingua mtu na haya ma fool Day anaweza kutoa Uhai wako bure!! Tuwe makini Tusife kimasihara..
😅😅😅😅😅😅😅
 
Mbona kila mtu naekutana nae nikimuuliza kitu anasema hapana,kwani na wewe ni kama wao
 
Back
Top Bottom