Furahia siku yako ya kuzaliwa na karibu tena jukwaani mkuu!Si
taogopa tena,umenifunza kitu kizuri
Basi mabazazi wasituingilie katika mambo yetu, sawa?Hata mimi najua hili π
Ukiwa na realman wako mwezi utaenda poa sanaπAsante.Barikiwa sana. Tarehe haijafika naufurahia mwezi wangu wa kuzaliwa π