Nililala nyumba ndogo, nimerudi nyumbani moja asubuhi, Nikamkuta wife kajawa na hasira , Nikajua ndoa yangu umefikia mwisho, Nikaamua kuongea ukweli (NILILALA KWA MCHEPUKO MKE WANGU) Kacheka saaana[emoji23][emoji23][emoji23]... alafu akaniambia , Wewe acha kunidanganya, unadhani mimi mjinga? Unajua sijui kuwa leo ni siku ya WAJINGA Duniani? Nikamrukukia na bonge la busu, Wanawake akili zao wanazijua wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]