zimbwe Member Joined Dec 26, 2011 Posts 15 Reaction score 3 Dec 29, 2011 #1 Niliapply kazi SSRA wakaniita kwenye interview ya kwanza,tukafanya mtihani kwenye mwezi wa 11 hivi na mpaka sasa kimya.inakuaje hii.
Niliapply kazi SSRA wakaniita kwenye interview ya kwanza,tukafanya mtihani kwenye mwezi wa 11 hivi na mpaka sasa kimya.inakuaje hii.
E Edo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2008 Posts 727 Reaction score 93 Dec 29, 2011 #2 SSRA wapo kwa nini usiwaulize wao?
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Dec 29, 2011 #3 nenda ukawaulize wenyewe mkuu