didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 861 Reaction score 1,476 Dec 26, 2024 #1 Wakuu mwenye anajua software au app nzuri ya kufanyia aptitude test atuandikie hapo chini au anayejua chochote kuhusu hio test atuambie hapo chini kwa manufaa ya vijana wanaowiwa kuomba BIG 4 hapo mwakani.
Wakuu mwenye anajua software au app nzuri ya kufanyia aptitude test atuandikie hapo chini au anayejua chochote kuhusu hio test atuambie hapo chini kwa manufaa ya vijana wanaowiwa kuomba BIG 4 hapo mwakani.