Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Hii ni miongoni mwa hadithi moja tamu sana.
Ni ndani ya kijitabu kidogo chenye mvuto wa aina yake.
Kilichochapwa 2007.
APUL AENDA NAIROBI I
Ilikuwa ikimuelezea kijana mmoja ambaye alienda mjini Nairobi kwa shemeji yake kutafuta ajira, bahati inakuwa kwake ni baada tu ya kufika nyumbani kwa shemeji yake nakukalibishwa chai Lah haula anakutana tangazo la nafasi za kazi katika gazeti lililofungashiwa vitafunwa asubuhi ya siku ile.
APUL APATA KAZI II
Vigezo vya elimu tajwa katika tangazo ilikuwa ni kama imemlenga Apul moja kwa moja.
Basi Apul anasindikizwa na shemeji yake mpaka maeneo jirani na taasisi iliyotoa tangazo la kazi na Apul anaajiliwa moja kwa moja.
: Shemeji ni vigumu sana kuingia katika katika jiji la Nairobi na kupata kazi siku hiyo hiyo au ni nyumbani uliaga vizuri?,
Alimtania shemeji yake Apul na wote kuanza kucheka.
Hii ilikuwa ni jioni baada ya wote kukutana tena nyumbani kwa shemeji yake Apul.
Wacha nilale kwanza nitaendelea kesho. Maana hii hadithi nimeikumbuka leo na kukumbuka mbali sana.
Kama na wewe uliwahi ipitia hii hadithi basi njoo tukumbushane baadhi ya vipande unavyovikumbuka.
Na je wapi palikufunza zaidi njoo ushare nasi.