Muhimbili hospitali tawi la Mloganzila Kibaha wanaweka kuanzia Milioni 3.5 mpaka Milioni 4.
Hospitali za AgaKhan na Hitech Sai nilisikia wao wanaweka kuanzia Mil4.5 mpaka Mil5.5
Unaweza kaa na puto kwa miezi 6, 9 na mwaka mmoja. Masharti yapo kwenye tovuti ya Mloganzila hospital au AghaKhan na Sai hospital.