Aqua Power Tanzania Limited yafungua kesi ICSID ikidai Tanzania fidia ya bilioni 1.3 kisa kunyanyaswa na kunyimwa leseni miradi ya nishati

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
My Take: Hizi kampuni za Matapeli zipigwe marufuku na Wale Wanaoshirikiana Wasakwe Popote Nchini Ili Wafurushwe hata kama Ni Watanzania.

Huu umegeuka ni upuuzi na dili za Vibaraka wa Mabeberu 👇👇

============

The shadow of investment disputes still looms over the Tanzanian government as Aqua Power Tanzania Limited, a company registered in Mauritius, has initiated legal proceedings seeking over $500 million (Sh1.3 trillion) in compensation.

Aqua Power Tanzania Limited, a company registered in Mauritius, has initiated legal proceedings seeking over $500 million (Sh1.3 trillion) in compensation from the Tanzanian government.

Aqua Power, headquartered in Ebene, Mauritius, has filed an investment dispute against the Tanzanian government at the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) in Washington.

The company, which specialises in electricity production using various energy sources, claims to have faced discrimination from the government, including being denied an investment license in the energy sector.

In its arbitration claim, Aqua Power is seeking $500 million (Sh1.3 trillion) for lost business over the past four years and for the value of its current projects in Tanzania.

If awarded, this amount would be the largest compensation claimed by any company in a Tanzanian investment dispute to date.

According to documents reviewed by The Citizen, Aqua Power submitted its request for arbitration to the Secretary-General of ICSID on September 17, 2024, through its legal counsel, Natasha Paray.

The Citizen
 
My Take
Hizi kampuni za Matapeli zipigwe marufuku na Wale Wanaoshirikiana Wasakwe Popote Nchini Ili Wafurushwe hata kama Ni Watanzania.

Huu umegeuka ni upuuzi na dili za Vibaraka wa Mabeberu 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAahLv9Iw7Y/?igsh=MW1sa3hwOGRuNGtwaA==

Hivi hadi Leo hayo makampuni bado hayajui kwamba Tanzania ni nchi yenye utawala wenye itikadi ya Kikomunisti/ujamaa??
Uzoefu kutoka duniani kote unaonyesha na kuthibitisha kwamba hakuna uwekezaji wa maana ambao unaweza kuwa economically viable kwenye nchi ambayo ina utawala wa kikomunisti, ndio maana unaona hata raia matajiri wengi Sana kutoka nchi Kama Urusi au China wanazikimbia nchi zao na kwenda kuwekeza kwenye nchi zingine zisizokuwa na itikadi za ukomunisti. Wanafikiri matajiri hao ni wajinga??
 
Nimepata point hapa.
 
Misukule ya mzee Mbowe mko na shida kubwa saana
 
My Take
Hizi kampuni za Matapeli zipigwe marufuku na Wale Wanaoshirikiana Wasakwe Popote Nchini Ili Wafurushwe hata kama Ni Watanzania.
Wanaoshirikiana na kampuni za kigeni kuibia watanzania mbona wanajulikana kuwa ni watawala wa ccm?

Ni nani mwingine mwenye uwezo na mamlaka ya kuingia mikataba ya kitapeli nje ya watawala?

Kwa sasa wapo bize kuuza raslimali za nchi kwa waarabu.

Angalia mfano wa gesi. Kama nchi tuna hazina kubwa ya gesi, lakini hatuna gesi.

Karibia gesi yote imekuwa ya mabeberu kupitia mikataba ya kifisadi..
 
Back
Top Bottom