Aqurium store

Aqurium store

Mechanical

Member
Joined
Oct 20, 2020
Posts
70
Reaction score
106
Pendezesha sebule yako, office yako, restaurant yako chumbani kwako na geto lako kwa wewe bachelor na mpenzi wa samaki wa mapambo kwa aqurium za kisasa zaid kutoka kelvin aqurium store. Tunatengeneza aqurium za aina zote na pia tunapokea oder za designed kutoka kwa mteja wetu namna ya wanavyotaka aqurium zao kuwa na muonekano gani. Aqurium hiz sio tu kwaajiri ya samaki wa mapambo pia tunaotesha mimea mbali mbali ya muonekano wa mazingira halisi. Tunapatikana mbeya ilomba simu no: 0713342243
 

Attachments

  • images (40).jpeg
    images (40).jpeg
    40.3 KB · Views: 1
  • images (31).jpeg
    images (31).jpeg
    37.2 KB · Views: 2
  • images (32).jpeg
    images (32).jpeg
    31.5 KB · Views: 1
  • 26f656483945edabd2889931a5295557.jpg
    26f656483945edabd2889931a5295557.jpg
    74.2 KB · Views: 1
  • images (36).jpeg
    images (36).jpeg
    10.6 KB · Views: 2
  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    18.4 KB · Views: 1
Bei ni laki 150,000 inayochukua ndoo ya lita 20, hii inakuwa moja tu yaan namaanisha aqurium peke yake, Unapata mchanga mweupe wa baharini na natural plant ambayo ni majani majani yanaota ndani yake. kama unataka iwe na designed ya kabati la chini bei inaenda kwa ukubwa na urefu unaotaka.
 
Back
Top Bottom