manenemane
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 289
- 255
View attachment 1081438
Naona wana JF wengi mko kimya lakini juzi mkandarasi Arab Contractors kalipwa na serikali ya Tanzania, malipo ya awali Tshs 688bilioni.
Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru.
Kwa kifupi sasa tuna uhakika kuwa mradi wa ujenzi wa mradi wa umeme wa stieglers Gorge ndio unaanza kwa uhakika.
Myonge myongeni haki yake mpeni, hongera mh. Magufuli
Wewe kama unachuki zako kwa Magufuli kwa kuzuia uharamia kwenye utalii na ujangili hama nchi.
Ukijumlisha ufisadi uliofanyika Awamu ya kwanza Mpaka ya nne hauzidi ufisadi uliofanyika awamu ya 5 peke yake tu.....Awamu ya 5 peke yake wamepiga zaidi ya trilioni 6.Ulitaka tuendelee kulipa capacity charge kwenye umeme wa kifisadi?
Wamu ya pili tunajuwa kuna loliondo, awamu ya tatu kuna kiwira, awamu ya nne, escrow...nini kimefanyika awamu ya tano?Ukijumlisha ufisadi uliofanyika Awamu ya kwanza Mpaka ya nne hauzidi ufisadi uliofanyika awamu ya 5 peke yake tu.....Awamu ya 5 peke yake wamepiga zaidi ya trilioni 6.
Rejea Ripoti za CAG....2016 ---2018Wamu ya pili tunajuwa kuna loliondo, awamu ya tatu kuna kiwira,awamu ya nne, escrow...nini kimefanyika awamu ya tano?
Taja ufisadi acha porojo.Rejea Ripoti za CAG....2016 ---2018
Acha uvivu,ufisadi wote umeelezwa mule kwenye report ya CAG.Taja ufisadi acha porojo.
Kumbe huna hata ufisadi mmoja unatuletea bla bla hapa.Acha uvivu,ufisadi wote umeelezwa mule kwenye report ya CAG.
Walishalipwa zamani ndio maana husikii kelele. Kwani wewe nikagomba?Hi wale wa koroshow walilipwa pesa zao???
hovyooThe biggest move da safi sana taratibu tutafika tu mungu awe pamoja nasi ila hapa tungepata na watu wa ndani ili baadhi ya pesa ibaki kuliko zote kuzitupa nje
nimewakumbuka wale wa KOROW SHOW walioandamana sijui wameishia wapiSijui nani katuroga.
Wengine tunawaza t. 1.5 na t.4 zimetumika vipi, wengine wanasifia t. 0.688, 06?
Safari hii ni viva wajinga, mnaonekana sana kwa awamu hii. Yaani awamu hii umetufanya tuwadharau hata wenye bonge na cheti cha elimu.
Endelea kujitoa ufahamu.Kumbe huna hata ufisadi mmoja unatuletea bla bla hapa.
Msongo wa mawazo utakuua mkuuhovyoo
View attachment 1081438
Naona wana JF wengi mko kimya lakini juzi mkandarasi Arab Contractors kalipwa na serikali ya Tanzania, malipo ya awali Tshs 688bilioni.
Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru.
Kwa kifupi sasa tuna uhakika kuwa mradi wa ujenzi wa mradi wa umeme wa stieglers Gorge ndio unaanza kwa uhakika.
Myonge myongeni haki yake mpeni, hongera mh. Magufuli
Inasikitisha jinsi mioyo ya watu wengine ilivyopinda.Wako kimya kwa sababu wanataka JPM a-fail lakini jamaa yuko makini ..,wengi wao wanachangia vitu ambivyo ni negative tu lakin positive things hawawezi zaidi ya kubeza tu
afeli mara ngapi na ipi aliofaulu? kuleta maboing mabovu? au kivuko cha BWAGAMOYO..? au naniliuu...? msidhani tumesahau la KOROW SHOW mlisema mtabangua kwa MIMENO yenuWako kimya kwa sababu wanataka JPM a-fail lakini jamaa yuko makini ..,wengi wao wanachangia vitu ambivyo ni negative tu lakin positive things hawawezi zaidi ya kubeza tu
Una tatizo na mradi kufanikiwa kuanza, au?hovyoo
Mkuu naona uko averse kwa maendeleo ya nchiafeli mara ngapi na ipi aliofaulu? kuleta maboing mabovu? au kivuko cha BWAGAMOYO..? au naniliuu...? msidhani tumesahau la KOROW SHOW mlisema mtabangua kwa MIMENO yenu
sio kufanikiwa kuanza... bali tatizo ni kwa nyie mnaopiga debe tupu mkidhani huo mradi utakuwa endelevu.. nachowaombea ni uzima wa afya zenu tu muwe hai mpaka JONII atakapomaliza muhula wake ndo mtajua kilichochini ya kapeti..Una tatizo na mradi kufanikiwa kuanza, au?