I ikashi JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 395 Reaction score 158 Feb 6, 2018 #21 Damu mchangayiko Oman unawaita waafrika na hiyo damu ya kiàrabu inaonekana wapi? Nasikia huko zanzibar kuna nguzo ya jengo yenye vichwa vya watu wale wenye nywele za kipilipili. Nimesema nasikia sijashuhudia.
Damu mchangayiko Oman unawaita waafrika na hiyo damu ya kiàrabu inaonekana wapi? Nasikia huko zanzibar kuna nguzo ya jengo yenye vichwa vya watu wale wenye nywele za kipilipili. Nimesema nasikia sijashuhudia.