Arafat Haji: Wanaweza kusababisha kifo chako na bado wakaja msibani kujiliza

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Ameandika makamu wa rais Yanga SC Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram.

“Wanaweza kusababisha kifo chako na bado wakaja msibani kujiliza sana, wanaweza kukusababishia matatizo na wakawa wa kwanza kukupa pole, wanaweza kukwambia tupo pamoja na wakakupa mkono ila pembeni yako wana minong’ono, unaweza kuwapenda kwa moyo na kuwashirikisha mipango yako ila fahamu wana mipango yao nje ya mipango yako, fahamu hao ndio binadamu moyo wake ni mpana kama bahari, hufahamu nini anawaza juu yako”​


 
Tayar wameshawekana madole ya macho.

Huyu na Hajra cheupe wa manyara ni kama ndugu kwa mafumbo hawajambo.

Ila tu Hajra huwa hawezi kukaa sana na jambo rohoni.
 
Utopolo wamemfanyaje jamaa?Si kwa kubwatuka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…