Arajiga apewi mechi za Simba . Tukiongea Ligi Ina rushwa ?

Arajiga apewi mechi za Simba . Tukiongea Ligi Ina rushwa ?

I will be short

Lini umeona Simba mechi yake anachezesha arajiga ?? Yanga mechi 3 . Azam fc . Ila Simba mechi zao zote ni za bahasha . Leo Refa kawa onea sana Namungo .

Karia kavuta pesa za mo . Kuwapa ubingwa wa mezani Simba .

Kila mechi ya Simba refa anamakosa ya kibinadamu .

Hizi Pia ni LAWAMA..! Teh teh teh...!

Kuongoza Ligi, hii timu haiongozi Ligi..na majuzi tu hapa Wametoka kufungwa na Yanga Kwa hisani Ya Pira Kayoko.

Lkn moto wanaouwasha Lawama zimekuwa nyingi...!

Punguzeni Lawama..! Kile kikosi pale munapokiona bado hakuna Muunganiko, Sasa KitakapoUngana hamtaLalamika MTAOMBOLEZA..!
 
Aliwachukulia Simba poa Ila anaonyweshwa kwa vitendo ndio maana tunataka derby ichezeshwe na marefa wa nje.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
JamiiForums-312072181.jpeg
 
Hata mm najiuliza kuna upangaji wa matokeo bodi ya ligi
 
Mechi ya Yanga na Azam juzi pengo la Ramadhan Kayoko lilionekana wazi.
 
Back
Top Bottom