Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
I will be short
Lini umeona Simba mechi yake anachezesha arajiga ?? Yanga mechi 3 . Azam fc . Ila Simba mechi zao zote ni za bahasha . Leo Refa kawa onea sana Namungo .
Karia kavuta pesa za mo . Kuwapa ubingwa wa mezani Simba .
Kila mechi ya Simba refa anamakosa ya kibinadamu .
Alisema "sisi ni ndugu haina haja ya kugombania fito kujenga nyumba moja"Kwani kocha Juma Mgunda wa Namungo na simba, alisemaje baada ya mechi kutamatika?
Arajiga kanyooka walipeleka viela vyao akawaambia Mimi si mtu wa hivyo.Aliwachukulia Simba poa Ila anaonyweshwa kwa vitendo ndio maana tunataka derby ichezeshwe na marefa wa nje.
Haha 😆 Mimi shabiki mzuri wa LigiWe ni msemaji wa namungo au?
😂 hadi leo TFF awampi mechi za Simba arajigaArajiga kanyooka walipeleka viela vyao akawaambia Mimi si mtu wa hivyo.
Hata wanje wanamuhonga tu . Hizi Deby watu wamewekewa 1 billion wewe unasema Refa wa njeAliwachukulia Simba poa Ila anaonyweshwa kwa vitendo ndio maana tunataka derby ichezeshwe na marefa wa nje.
Aise wananchi kwa majibu.Alisema "sisi ni ndugu haina haja ya kugombania fito kujenga nyumba moja"
arajiga kapewa mechi ya afcon lakini apewi mechi za simbaKama Hakuna Malalamiko Acha maisha yaende.
Dah!! Umepiga kwenye mshonoMechi ya Yanga na Azam juzi pengo la Ramadhan Kayoko lilionekana wazi.
Oho! Malofa fc watakuroga ,usije sema sikukwambia.Mechi ya Yanga na Azam juzi pengo la Ramadhan Kayoko lilionekana wazi.