Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Marefa wawili wa Tanzania, Frank Komba na Ahmed Arajiga, wamechaguliwa miongoni mwa marefa 65 watakaosimamia mechi za Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2025 zitakazofanyika Kenya, Uganda, na Tanzania kuanzia Februari 1 hadi 28, 2025.
Ahmed Arajiga
Arajiga ameorodheshwa katika kundi la marefa 26 wa kati, huku Komba akichaguliwa kati ya marefa 25 wasaidizi. Fainali hizo pia zitakuwa na marefa 14 wa VAR kwa ajili ya kusaidia teknolojia ya video.
Frank Komba
Ahmed Arajiga
Frank Komba