Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Marefa wawili wa Tanzania, Frank Komba na Ahmed Arajiga, wamechaguliwa miongoni mwa marefa 65 watakaosimamia mechi za Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2025 zitakazofanyika Kenya, Uganda, na Tanzania kuanzia Februari 1 hadi 28, 2025.


Ahmed Arajiga
Arajiga ameorodheshwa katika kundi la marefa 26 wa kati, huku Komba akichaguliwa kati ya marefa 25 wasaidizi. Fainali hizo pia zitakuwa na marefa 14 wa VAR kwa ajili ya kusaidia teknolojia ya video.


Frank Komba

Soma, Pia: CAF Wakagua Miundombinu ya Michezo Kuelekea CHAN 2025

 
Marefa wanaochezesha mechi za KOLOZ hawajachaguliwa kwenda CHAN?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…