Arajiga kuchezesha mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Kassim Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuchezesha mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya wenyeji Botswana dhidi ya Algeria utakaopigwa Mjini Francistown Nchini Botswana Machi 21, 2025.

Algeria na Msumbiji wapo kileleni mwa Kundi G wakiwa na pointi 9 kila mmoja wakifuatiwa na Botswana, Guinea, na Uganda wenye pointi 6 kila mmoja huku Somalia ikiburuza mkia bila pointi yoyote
 
Cv izidi kupaaa, mtu poa kabisa huyu
 
Mbona unabifu namimi kwani nilishakufanya nini...?🀣
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† nimejikuta nacheka..hivi kumbe nina bifu na ww na sijui...ahahahhaahahh
 
Kombe la dunia la mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…