ARC Rally 2016 - Bagamoyo

Hizo Subaru ndo hizi tunazoziona mtaani au kuna Subaru nyingine
Halafu hivi kwanini wanatumia magari aina tofauti?
 
Hakuna gari iitwayo Subaru Evo X

Watakaosumbua ni
Miller
Pandya
Mangat
Nimechapia ni Subaru WRX STI!!

wale team Haris siwaona bila kumsahau Madebe sijui atakwepo jina lake kama silioni kwenye list!!
 
Mziki ungukuwa mnene hapo wangekuwepo king of the mountain Ian Dancan, Bardev Chagga, Carl Tundo na Jassy Chaty
 
Nimechapia ni Subaru WRX STI!!

wale team Haris siwaona bila kumsahau Madebe sijui atakwepo jina lake kama silioni kwenye list!!

Wapo wote mi ninewaona jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…