ARCHBISHOP Janani Jakaliya Luwum (left), head of the church of Uganda from 1974, and one of the most influential leaders of the modern church in Africa, with his assassin Dictator Idi Amin, minutes before he was handed over to the firing squad and killed in kampala on 17 february, 1977. it was a common practice with Amin to invite his vip victims to his residence in Kampala before he got them shot.
Halafu mtu kama Pascal anamsifia "homeboy" eti "good" president "Uganda" had ever had (sijui kama grammar ni sahihi kama alivyoitumia yeye Pascal Mayalla (to me, he should have written Tanzania has ever had)

ARCHBISHOP janani jakaliya luwum (left), head of the church of uganda from 1974, and one of the most influential leaders of the modern church in africa, with his assassin dictator idi amin, minutes before he was handed over to the firing squad and killed in kampala on 17 february, 1977. it was a common practice with amin to invite his vip victims to his residence in kampala before he got them shot.
Halafu mtu kama Pascal anamsifia "homeboy" eti "good" president "Uganda" had ever had (sijui kama grammar ni sahihi kama alivyoitumia yeye Pascal Mayalla (to me, he should have written Tanzania has ever had)
English grammar kwa sisi wa St. Kayumba ni issue, ungiongezea tunaishi Uswazi ndio kabisa, nisamehe bure kwa my poor English ila naamini ujumbe wangu umekufikia loud and clear.
Kwenye uzi ule pia nimezungumzia karma, mbele ya karma, thamani ya roho ya mtu is equal regardless status yake katika jamii, hivyo pamoja na Dikiteta Iddi Amini Dada kumuua ARCHBISHOP Janani Jakaliya Luwum, lakini unaweza usiamini kumkuta Amini ameingia peponi kama karma ya uovu wake wote uliishafidiwa kwa kutimiliwa na wema alioufanya alipokuwa anaishi Saudi Arabia hadi mauti ilipomkuta, halafu unaweza usiamini utakao kutana nao Jehanum ya moto wa milele huku wengine ndio wakifanywa kuni!.
Toka day one nimesisitiza humu kuwa ni kweli homeboy wangu ni Dikiteta ila ni Dikiteta Mzalendo, a benevolent dictator, ukimuondoa JK aliyefanya wema kama ule kwa yale majizi ya epa, hakuna rais mwingine yoyote wa Tanzania amewahi kufanya wema mkubwa kama ule wa jana!.
Kiukweli kabisa atabarikiwa sana!. Wema kama huo na mwingine mwingi, unafuta dhambi zake nyingine zote hata kama ni yeye aliyeamrisha yale mambo yale ya kumpoteza yule dogo wetu humu au lile shambulio. Mizani ya mbinguni na peponi ni kiwango cha mema compared na mabaya, mema yakizidi tuu hata kwa nukta moja ni fasta peponi!. Wata watakuja kuwa very surprised kumkuta Osama, Saadam na Ghadafi peponi halafu Bush, Blair na Obama motoni!.
Karudie kusoma tena na tena kuhusu Karma.
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...

Pascal, this is your wish! Nionyeshe mahali kwenye biblia ambapo inasema ukifanya mauaji/unyama and other atrocities kwa wanadamu , ukifanya mema yanafuta mabaya! Unadhani Lisu amesamehe, Ben amesamehe! Katoliki wanasema ukitaka kusamehewa rudisha ulichoiba! "umelogwa", sandarusi zote coco beach za maiti eti kuwafungulia Rugemalila na Habinder ndiyo zifute dhambi ya sandarus za maiti! "umelogwa akili" na Jiwe
Kuna nduli mwingine mahali, anajidai ni mwenye huruma kwa aliowatia hatiani yee mwenyewe kwa kigezo eti waishi kama mashetani, sasa hela imekata, anawatoa kwa masharti kwamba wamlipe pesa japo kiduchu
Pascal Mayalla kutenda wema ni wajibu wa kila Mkristo si kwa ajili ya kusamehewa makosa. Toba ni wajibu kwa kila mtenda dhambi. Ukijua umetenda kosa/dhambi,tunafundishwa Unaungama/kukiri makosa kwa kujinyenyekeza kwa uliyemkosea, kwa nafsi yako(unajisamehe) na kwa Mungu. Unafanya toba kwa nafsi tatu.
Pascal Mayalla a.k.a PASKALI ameelezea vizuri namna karma ifanyavyo kazi, pia anakubali kuwa nduguyu ni mtawala wa kiimla, ila mzalendo. Pascal Mayalla nimekuelewa vyema
Pascal, this is your wish! Nionyeshe mahali kwenye biblia ambapo inasema ukifanya mauaji/unyama and other atrocities kwa wanadamu , ukifanya mema yanafuta mabaya! Unadhani Lisu amesamehe, Ben amesamehe! Katoliki wanasema ukitaka kusamehewa rudisha ulichoiba! "umelogwa", sandarusi zote coco beach za maiti eti kuwafungulia Rugemalila na Habinder ndiyo zifute dhambi ya sandarus za maiti! "umelogwa akili" na Jiwe
Pascal, this is your wish! Nionyeshe mahali kwenye biblia ambapo inasema ukifanya mauaji/unyama and other atrocities kwa wanadamu , ukifanya mema yanafuta mabaya! Unadhani Lisu amesamehe, Ben amesamehe! Katoliki wanasema ukitaka kusamehewa rudisha ulichoiba! "umelogwa", sandarusi zote coco beach za maiti eti kuwafungulia Rugemalila na Habinder ndiyo zifute dhambi ya sandarus za maiti! "umelogwa akili" na Jiwe
Mkuu Retired, kwanza huna haja ya kutumia lugha kali na ya machukizo dhidi yangu, mambo ya kulogwa akili na jiwe yametoka wapi?.
Japo mafundisho ya karma sio ya Christianity or Muslim ni Hindu na Buddhist lakini kwa vile hizo ndizo dini mbili za kale zaidi, Christianity na Muslim ni dini za juzi, ndani ya Biblia na Quran karma haitajiwi kama karma, ila it's manifestation inazungumzwa bila kusema ndio karma.
Ukipenda naweza kukuwekea vifungu na mistari.
Kwa vile Lissu na Ben Saanane hao wote pia ni binadamu hakuna ajuaye matendo yao hivyo kilichowatokea pia inawezekana ni karma za matendo yao.
Kwa Chadema, soma tarehe ya mabandiko haya na uangalie nilisema nini kuhusu karma na wahusika wa hayo nini kimekuja kuwatokea?
Wanabodi, Baada ya Kisa, Mkasa, na Baada ya Chanzo Kitendo!, Sakata la Mbunge Machachari wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe na chama chake cha Chadema limekuwa na visa na mikasa, vyanzo na vitendo na hatimaye leo, limefikia mwisho, limekwisha rasmi, it's over!, the rest is now a history...
Usikurupuke kuwa na majibu kwa mambo mazito! Tafuta washauri na wewe kabla hujamwaga mchele kwenye kuku wengi.Je unalewa maana ya neno nafikiri? Shirikisha sehemu ya fahamu.Hapo issue alikuwa anajua kuwa Kagenzi alikuwa anatembea na SUMU,lakini MUDA ndio ANAFIKIRI.
HeUOTE=Mzizi wa Mbuyu;12097208]Nchi hii kwa sasa inavuruna na TISS kujifanya ndio wanamkamkati wa CCM!, maana jambo likiwashinda wao kinachofuatia ni kumhukumu mtu kifo....!! sasa hii sio siasa ni ugaidi, ushenzi, upumbavu, laana na ushenzi kabisa.[/QUOTE] Hivi kumuua Slaa kunahitaji TISS...
www.jamiiforums.com
Unajua Zitto, Kitila na Mwigamba walishiriki kuijenga Chadema kwa machozi, jasho na damu?. Je unakijua walichofanyiwa?. Unawajua waliowatenda hawa watu Chadema kiliwakuta nini mmoja baada ya mwingine?.
nimeweka inverted marks kuonyesha siyo ile kulogwa tunayoijua. Nilimaanisha kupenda kulikopitiliza as if mtu amekuloga kiasi huna namna ya kujinasua............maana kulogwa tunasikia kuwa unafanya siyo wewe bali ni nguvu za giza.... ambazo hatuna uwezo nazo....
English grammar kwa sisi wa St. Kayumba ni issue, ungiongezea tunaishi Uswazi ndio kabisa, nisamehe bure kwa my poor English ila naamini ujumbe wangu umekufikia loud and clear.
Kwenye uzi ule pia nimezungumzia karma, mbele ya karma, thamani ya roho ya mtu is equal regardless status yake katika jamii, hivyo pamoja na Dikiteta Iddi Amini Dada kumuua ARCHBISHOP Janani Jakaliya Luwum, lakini unaweza usiamini kumkuta Amini ameingia peponi kama karma ya uovu wake wote uliishafidiwa kwa kutimiliwa na wema alioufanya alipokuwa anaishi Saudi Arabia hadi mauti ilipomkuta, halafu unaweza usiamini utakao kutana nao Jehanum ya moto wa milele huku wengine ndio wakifanywa kuni!.
Toka day one nimesisitiza humu kuwa ni kweli homeboy wangu ni Dikiteta ila ni Dikiteta Mzalendo, a benevolent dictator, ukimuondoa JK aliyefanya wema kama ule kwa yale majizi ya epa, hakuna rais mwingine yoyote wa Tanzania amewahi kufanya wema mkubwa kama ule wa jana!.
Kiukweli kabisa atabarikiwa sana!. Wema kama huo na mwingine mwingi, unafuta dhambi zake nyingine zote hata kama ni yeye aliyeamrisha yale mambo yale ya kumpoteza yule dogo wetu humu au lile shambulio. Mizani ya mbinguni na peponi ni kiwango cha mema compared na mabaya, mema yakizidi tuu hata kwa nukta moja ni fasta peponi!. Wata watakuja kuwa very surprised kumkuta Osama, Saadam na Ghadafi peponi halafu Bush, Blair na Obama motoni!.
Karudie kusoma tena na tena kuhusu Karma.
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...
Nadhani sio leo tuu, tangu nimejiunga jf, nimepandisha mabandiko zaidi ya 500 kwa wastani wa bandiko 1 kwa wiki kwa muda wa miaka 10, kati ya hayo mabandiko pumba zitakiwa nyingi tuu, kama hata watu kama Mzee Baba mwenyewe kuna wakati anamwaga pumba, ndio tutakuwa sisi?.
P
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.