habar wakuu, mm n miongon mwa vjana walopata nafasi ya kusoma architecture mwaka wa kwanza. nataka kuuliza n vifaa vipi nahitajika kuwa navyo ktk mwaka wa kwanza wa masomo? msaada wenu ni mkubwa kwang
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.