Nini kimemkuta huyu kijana wa Kituruki pale Barcelona kakutana na mafundi zaidi au mfumo umemkataa tu?
Akiwa Atl Madrid Alikua akipiga mpira mkubwa sana tena washoka alikua hawezi kusugua benchi hata siku moja labda angekua majeruhi.
Je ni muda sahihi wa Arda Turan kuondoka Barcelona au bado ananafasi chini ya kocha mpya Ernesto Valverde?
Ukiangalia kwa mfano ww unaenda pale kam kiungo au mshambukiaj unaweza kuuwa ule MSN kwel pole ustaz bor ungebakBarcelona siyo timu ya kuikimbilia hata siku moja wengi wanaipenda Lakn wakifika wanaishia bench tu na wala hawajali kiwango chako
Umtiti ,Rakitic ,Suarez,Neymar vipi naoBarcelona siyo timu ya kuikimbilia hata siku moja wengi wanaipenda Lakn wakifika wanaishia bench tu na wala hawajali kiwango chako
ila kumbuka pale kwa Diego simeone alikua akimiliki Dimba la kati kwa ustadi mkubwa hawa hawa akina iniesta walikua hawapumui wakikutanaNamwona kama ni mzuri zaidi akianzia pembeni
442 ya simeone viungo walikuwa constant Gabi na Tiago ,..Arda alikuwa anacheza nyuma ya Costa namba kumi au kutokea pembeni wingaila kumbuka pale kwa Diego simeone alikua akimiliki Dimba la kati kwa ustadi mkubwa hawa hawa akina iniesta walikua hawapumui wakikutana
Ref Alex Song Arsenal to Barcelona
Fabregas Arsenal to barcelona