Ardhi Chuo kikuu na uwizi wa serikali ya wanafunzi

Joined
Mar 8, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Hatimae Sasa ufisadi wahamia vyuoni.
Baada ya ya zaidi ya millioni tatu(3 mil)kugundulika kuibiwa na nyingine kutumika vibaya katika account ya serikali ya wanafunzi chuo kikuu (Ardhi University ) na bunge la chuo hicho kuhoji vurugu kubwa lazizima
Huku sakata hilo likipelekea kutaka serikali kuwajibishwa na wabunge takriban asilimia 80% ya waliomo kwenye bunge hilo,tar 23/01/2015 hali ya ajabu ilitokea kwenye bunge hilo baada ya SERIKALI ikiongozwa na waziri mkuu kufanya vurugu kubwa ndani ya bunge hilo.
Hali hii ni tofauti na kawaida kwakuwa tumezoea kuona wabunge wakifanya vurugu, ila hii ni tofauti kabisa maana hata viombo vya usalama vilishindwa kuingilia kati ilikuweza kuwatuliza mawaziri hao waliokuwa wakizuia mswada wenye vipengele takriban 15 vikieleza utendaji mbovu wa serikali,uwizi, na uongo ambao serikali hio imekuwa ikutumia ili kuendesha shughuli zake.
Hadi sasa hatma ya serikali haijulikani baada ya vurugu hizo zilizodumu kwa takriban lisaa limoja na nusu na kusababisha kikao cha bunge kuvunjika.
Wanzuoni sasa nao ufisadi hodi!
 
Dogo mbona hiyo kawaida hapo ARU, unamkumbuka jamaa anaitwa tegemeo aliyekuwa prezidaa hapo 2011 yeye na wenzie wahasibu wa serikali ya wanafunzi walipiga mpunga mrefu wa hela za wanafunzi sijui sekeseke lile liliishia wapi, tena hawa wa sasa wamechukua hela ya msosi tu (mil 3), CBE juzijuz kuna prezidaa naye kapiga mpunga mrefu kuliko huo wa ARU so piga kitabu dogo aje kitaa ujitafutie life lako hayo mambo yalikuwepo tangu zama
 
Sasa si mnaona mafisadi wankoanzia. Mnashindwa kuwashughulikia huko chini mnawwacha wanpenya mpaka wanakuja kupata madaraka makubwa baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…