Ardhi hulipiwa VAT?

Ardhi hulipiwa VAT?

Joined
Aug 3, 2022
Posts
25
Reaction score
25
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa Nikiyumba Kuhusu Sheria Ya ARDHI Kwa Makampuni ya Upimaji na Uuzaji wa Viwanja

Kwamba Je Wanapovuka Tsh, Million 100 Kwa Mwaka. Je Hulazimika Kulipia VAT ?

Hii Nakusudia Makampuni na Wauzaji Wengine Ambao Hufanya Upimaji Na Kurasimisha Mipango Miji na Kuanzia Process za Uuzaji.

Sikusudii Makampuni Au Wauzaji wa Kati Kwa Maana ya MADALALI Naomba Ufafanuzi wa Kisheria Kwa Anayejua.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom