Incredible1492
Member
- Jan 4, 2019
- 19
- 13
Karibu CHAD CREATION CO LTD, Tuna miradi kadhaa ya Viwanja vya makazi vilivyopimwa ktk ukubwa tofauti, kuanzia 500 sqm na kuendelea, tuna uzoefu mkubwa katika masuala ya ununuzi ardhi, uhakiki na upimaji, Miradi yetu ya viwanja ipo wilaya za Kibaha Mji, Bagamoyo (kilomo) na Mkuranga (eneo la MAGOZA /Dondwe).
Kwa kuwa una mahitaji ya ekari nyingi zikiwa ktk hadhi ya shamba tunakushauri kututumia Sisi ktk harakati za uhakiki, ununuzi na baadae upimaji na kukupangia kitaalamu mji wako (land planing) na kukuandalia mchoro ambao utakuwa ni muongozo wako katika matumizi yako ya ardhi.
Kwa USHAURI maeneo ya KIBAHA na Bagamoyo ni mazuri kwa mpango wako, kwasababu zifuatazo
1. Mipango ya serikali ya muda mfupi na mrefu katika ujenzi wa viwanda ,Mkoa wa Pwani unapewa kipaombele.
2. Ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli NA bandari kwa Kibaha na Bagamoyo inaonyesha mtazamo mzuri wa baadae kwa wakazi wa Maeneo hayo.
3.Uhakika wa mawasiliano ya usafiri wa aina zote kuanzia barabara, reli, ndege nk.
Uwepo wa ardhi ya kutosha yenye rutuba na inaweza kutumika kwa uwekezaji wa aina yeyote.
Kuna sifa nyingi lakini niiishie hapo, Nakutakia mafanikio katika plan zako 2019. Karibu upate kujaribu huduma zetu
@ Chad Creation co Ltd 0652873212
Sent using Jamii Forums mobile app
njoo mkuranga uwekezehuku kwenye mji unaokua heka ni shilingi laki 8 kuendelea unaweza kujaribu pia Mombo kuna kijiji kinaitwa Chekelei panafaa kwa kilimo na makazi kwa maelezo zaidi ni pm!Asalam aleykum wanajukwaa
Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim.
Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona inanifaa(kutokana na michango yenu wadau) ndani ya ardh hiyo nategemea kufanya kilimo na ufugaji ambavyo vinaambatana na makazi yangu na familia yangu. Napenda kuishi kijijini na inshaalah nikipata sehemu hiyo kama ninavyotegemea nitapafanya pa kipekee.
Ombi langu wanajukwaa na wataalam wa uchumi na usimamizi wa ardhi ni kunipa ABC za wapi naweza kutimiza ndoto yangu hii, na kwajins gani nitafanikiwa nina imani kwa ninavyoijua JF nitapata mengi ya kunikosoa na kunikatisha tamaa (hizi ndo changamoto zenyewe za kunifaidisha)
Karibuni sana wadau
Nimekusoma mkuu
Nitawachek
Naomba physical adress ya ofisi zenu
Ardhi ipo ya kutosha mkuranga, karibu sanaAsalam aleykum wanajukwaa
Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim.
Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona inanifaa(kutokana na michango yenu wadau) ndani ya ardh hiyo nategemea kufanya kilimo na ufugaji ambavyo vinaambatana na makazi yangu na familia yangu. Napenda kuishi kijijini na inshaalah nikipata sehemu hiyo kama ninavyotegemea nitapafanya pa kipekee.
Ombi langu wanajukwaa na wataalam wa uchumi na usimamizi wa ardhi ni kunipa ABC za wapi naweza kutimiza ndoto yangu hii, na kwajins gani nitafanikiwa nina imani kwa ninavyoijua JF nitapata mengi ya kunikosoa na kunikatisha tamaa (hizi ndo changamoto zenyewe za kunifaidisha)
Karibuni sana wadau
Taarifa nzuriKaribu CHAD CREATION CO LTD, Tuna miradi kadhaa ya Viwanja vya makazi vilivyopimwa ktk ukubwa tofauti, kuanzia 500 sqm na kuendelea, tuna uzoefu mkubwa katika masuala ya ununuzi ardhi, uhakiki na upimaji, Miradi yetu ya viwanja ipo wilaya za Kibaha Mji, Bagamoyo (kilomo) na Mkuranga (eneo la MAGOZA /Dondwe).