Incredible1492
Member
- Jan 4, 2019
- 19
- 13
Tabora mkuu,kuna eka 10 zimeungana unaweza kutimiza ndoto zako
Kibiti pata kufaa
Dodoma ni sehemu nzuri sana kwa makazi
-Mji unapangwa vizuri
-Maofisi na huduma nyingi zinahamia hapo
-Bado maeneo yanapatikana kwa bei nafuu,unaweza miliki mpaka ekari 20 kwa bei ya milioni 12M na ekari zikawa karibu na mjini(24-26km)
Binafsi nakushauri ishi dodoma
Ukihitaji ardhi dodoma tuwasiliane
+255622111186(whatsap)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijijini kwetu, Heka ni bei ya Pipii!
Syo huko nenda sehemu za ikwiririAhsante sana unazungumzia ardhi iliyopo ndani ya bonde la mtu rufiji?
Nilifika mpaka kibiti hadi nyamisati week mbili zilizopita
Kwakwel maeneo ni mazur mno
Ila wenyeji waliniambia changamoto kubwa kwa shukhur za kilimo ni wanyama waharibifu sijui kuna ukwel?
mkuu ni wapi huko tuchangamkieKijijini kwetu, Heka ni bei ya Pipii!