Incredible1492
Member
- Jan 4, 2019
- 19
- 13
unaweza kuishi makambako?Asalam aleykum wanajukwaa
Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim.
Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona inanifaa(kutokana na michango yenu wadau) ndani ya ardh hiyo nategemea kufanya kilimo na ufugaji ambavyo vinaambatana na makazi yangu na familia yangu. Napenda kuishi kijijini na inshaalah nikipata sehemu hiyo kama ninavyotegemea nitapafanya pa kipekee.
Ombi langu wanajukwaa na wataalam wa uchumi na usimamizi wa ardhi ni kunipa ABC za wapi naweza kutimiza ndoto yangu hii, na kwajins gani nitafanikiwa nina imani kwa ninavyoijua JF nitapata mengi ya kunikosoa na kunikatisha tamaa (hizi ndo changamoto zenyewe za kunifaidisha)
Karibuni sana wadau
Kwani wanaoishi makambako ni wanyama
Karibu mkuranga hautajutiaAsalam aleykum wanajukwaa
Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim.
Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona inanifaa(kutokana na michango yenu wadau) ndani ya ardh hiyo nategemea kufanya kilimo na ufugaji ambavyo vinaambatana na makazi yangu na familia yangu. Napenda kuishi kijijini na inshaalah nikipata sehemu hiyo kama ninavyotegemea nitapafanya pa kipekee.
Ombi langu wanajukwaa na wataalam wa uchumi na usimamizi wa ardhi ni kunipa ABC za wapi naweza kutimiza ndoto yangu hii, na kwajins gani nitafanikiwa nina imani kwa ninavyoijua JF nitapata mengi ya kunikosoa na kunikatisha tamaa (hizi ndo changamoto zenyewe za kunifaidisha)
Karibuni sana wadau
Ningekukaribisha ila kusema kuwekeza kwenye miti!!! Miti hasa hii ya mi pine imeharibu ardhi yetu. Kama unawekeza miti ya asili nitakukubali.Naweza kuishi mkuu
Katika target yangu mkoa wa Mbeya, Iringa na RUKWA ni maeneo ya kipaumbele
Iringa napapendea maana naeza wekeza kwenye kilimo cha miti
Utanisaidia sana ukinipa ABC za huko
ahaa.unataka kumiliki na msitu kabisa?Naweza kuishi mkuu
Katika target yangu mkoa wa Mbeya, Iringa na RUKWA ni maeneo ya kipaumbele
Iringa napapendea maana naeza wekeza kwenye kilimo cha miti
Utanisaidia sana ukinipa ABC za huko
cheki katavi bado ardhi ni bei ndogo na ina rutuba sana.Naweza kuishi mkuu
Katika target yangu mkoa wa Mbeya, Iringa na RUKWA ni maeneo ya kipaumbele
Iringa napapendea maana naeza wekeza kwenye kilimo cha miti
Utanisaidia sana ukinipa ABC za huko
Weka mawasiliano nikutafute au ni PMNjoo nikuuzie mashamba mkata ukafuge mbuzi, kuku na kulima mahindi, mihogo na mazao mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekukaribisha ila kusema kuwekeza kwenye miti!!! Miti hasa hii ya mi pine imeharibu ardhi yetu. Kama unawekeza miti ya asili nitakukubali.
karibu makambako na njombe boss.huku aridhi bado wenyeji,hawajajua kuwa ni Dili..utapata ardhi kwa bei cheeNdio kwangu mm ni bora kuliko kuhifadh hela mifuko ya pensheni.
Unauhakika wa kupata kiasi kikubwa cha hela baada ya miaka 20 au chini ya hapo {mbadala wa kikokotoo}