JOFFREY BARATHEON
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 107
- 195
Nenda katavi utapata eneo la kutosha, kwani lazima dar?eeh labda atfute ardhi naeneo ya mbezi mwisho mpka kibamba,,au gongo la mbeto au kawe mpaka bunju eneo litakuwa kubwa na gharama nafuu,,,halafu broo nahitaji maelekezo flani kutoka kwako,,je nikuone inboxPM?