Ardhi kwa kujenga nyumba inauzwa mbezi ya kimala

Gsimba

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
20
Reaction score
4
Eneo la shamba la kujenga nyumba linauzwa lenye ukubwa wa mita za square 20 kwa 20..lipo mbezi kwa msuguri mtaa wa Saranga..
Phone No:0757 743712
 
weka na bei kabisa mambo ya sim yakihuni ukiweka bei watu wajue pa kuanzia.
 
hahahahaha kimala ndio wap?.
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…