Ardhi mbona hawatoi? Nimechoka kusubiri

Ardhi mbona hawatoi? Nimechoka kusubiri

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
59
Jamani hivi hawa jamaa wa ardhi mbona hivi?, yaani admision nazo mpaka tuonge?, kama hawataki si waache. dah.
 
Nyie madogo mnanishangaza sana na hiyo kauli yenu ya "nimechoka kusubiri "
we unachoka wakati ndo kwanza gemu linaanza !!
 
Back
Top Bottom