Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 56
Habari wana JF?Naomba msaada wenu wa information juu ya bei za mashamba huko Morogoro vijijini nataka kwa ajili ya kulima mahindi,maharage nk.Naomba pia kujua makadirio ya gharama za vibarua kulima kwa heka na kukodi trekta kwa heka ni shilingi ngapi?Nitashukuru sana kupata majibu ya maswali haya"THINK BEYOND THE SKY LIMIT"