Ardhi University(ARU) - Special Thread

Habari wadau!
Napenda kuuliza kuhusu Registration katika chuo cha ardhi kwa first years ambao Tupo sponsed by loan board upande wa ada yani first instalment ni lazima kulipa yote au inakuaje Naomba muongozo wenu wajuzi wa hili mimi niko selected in *Bachelor of science in information systems management
 
Hawana shida we lipia unachodaiwa
 
Sjakuelewaa mkuu! Naomba ufafanuzi mfano ada 1mil na lak1 sasa apoo kwa upandee wa ulipaji kama upo sponsed by loan board unalipa shingapi!?
Lipia ambayo unadaiwa
 
habari zenu ndugu zangu napenda kujuzwaaa kuhusu mazingira ya chuo apo.na kwa upandee wa hostel ukoje au mAisha ya kupanga ukiwa first years naombeni muongozo wenu na ufafanuzi kuhusu ardhi university
 
habari zenu ndugu zangu napenda kujuzwaaa kuhusu mazingira ya chuo apo.na kwa upandee wa hostel ukoje au mAisha ya kupanga ukiwa first years naombeni muongozo wenu na ufafanuzi kuhusu ardhi university
Hosteli kuwahi tu vyumba vya kupanga inategemea na eneo makongo vyumba bei inaanzia 50000 mlalakuwa kuanzia 80 hadi laki na nusu mlalakuwa ni karibu na chuo ila vyumba vyake sio vizuri Makongo ni mbali na chuo ila vyumba vyake ni vizuri
 
Kuna mdogo wang amechaguliwa ardhi un but kupata admistion latter bad kmekua shida na now link ya admtion haifunguk kabsa msaaada
 
Habari wakuu n course gani zinatolewa kwa evening class hapo Ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…