Ardhi University(ARU) - Special Thread


Bahati mbaya hukunielewa, nadhani ni makosa yangu pia. Swali langu ni Je, Ardhi University wanatoa "Facult of BAF" au wanatoa "Degree of BAF?" mi naamini wanatoa "Degree of BAF" sahihisha Mkuu.
 

...Hili ni eneo unalopaswa kuliweka sawa. Ndilo nililokusudia katika post ya kwanza.
 
Ulimwengu wa leo,unapokuwa kwenye ajira,hasa katika sekta binafsi ambazo ndizo zinazotuajiri kwa wingi unakutana na changamoto nyingi.,unapaswa kuwa na ufahamu wa kutosha juu ya mambo mbalimbali ili uendelee kuwepo kwenye ajira..Fungua macho uone ushindani mbele,kisha fanya uamuzi wa busara..Soma kwa upana ili utumike kwa mapana...
 
Mi nilisoma undergraduate BAF pale Mzumbe na kwa sasa niko kwenye ajira...Nina ufanisi kwenye kazi,lakini nakiri kuwa kuna courses inabidi nizisome ili mambo yaende...

Haiwezekani kwa mwanafunzi mahiri kutegemea kupata kila kitu kutoka kwa mwalimu wake mwanafunzi apaswi kuwa kama kuku wa broiler yampasa kuwa kama kuku wa kienyeji jiimarishe zaidi kwa kujitafutia zaidi kupitia library na source nyinginezo mbalimbali.
 
Mi nilisoma undergraduate BAF pale Mzumbe na kwa sasa niko kwenye ajira...Nina ufanisi kwenye kazi,lakini nakiri kuwa kuna courses inabidi nizisome ili mambo yaende...

courz gan hzo ambazo hukuzsoma mzumbe na sa hz umeziona ardhi mkuu?
 

kweli kabisa...ujuzi unaimarika kupitia kujisomea na kutafuta elimu popote.Ni busara pia kwa mwanafunzi kuchagua pahala atakapopata elimu ya kutosha kama Ardhi university,ukiongeza na ujuzi wako unakua more compentate..
 
courz gan hzo ambazo hukuzsoma mzumbe na sa hz umeziona ardhi mkuu?

Nilisoma pale Bachelor of Accounting Degree-Business Accounting and Finance.,bt pale Ardhi wanatoa Bachelor of Science in Accounting and Finance...Ckusoma courses kibao kama;
-Money and banking
-Econometrics
-Marketing
-Entrepreneurship
-Lease Financing
-Investment analysis
-Derivative securities and risk management
-International accounting
-Treasury managent
-Portfolio and fund management,
-Fundamentals of Real Estate Finance..
na nyngine nyingi..
 

kwa hyo unaenda kuanza mwaka wa kwanza tena au?
 
Bahati mbaya hukunielewa, nadhani ni makosa yangu pia. Swali langu ni Je, Ardhi University wanatoa "Facult of BAF" au wanatoa "Degree of BAF?" mi naamini wanatoa "Degree of BAF" sahihisha Mkuu.

Ok.,hope hatukuelewana...wanatoa Bachelor Of Science in Accounting and Finance(Bsc.AF)
 
na ili ku-join, vigezo minimum ni vipi? General and specific
 

kweli mkuu hii ngoma imetulia na ipo makini, swali langu ni je LECTURERS wapo wenye uwezo na hizo course au tunachukua walewale washika viuno ubaoni na wapiga porojo na story tu mwisho wa siku kuwadaka(SUP) vijana wawatu na kutaka PESA au UNYUMBA(kwa Wadada) ili watolewe ktk hizo SUP bila ya kuzingatia mtu hajui ulifundisha nini darasani???????????? CHALLENGE KUBWA SANA HII AMBAYO WAKUU WA VYUO WANAFUMBIA MACHO.
 
yap.,hlo kweli la msingi..Kinachosaidia kiasi ni kuwa,wakufunzi wengi wanaotumika vyuo vikuu ni wale ambao wamekuwa na matokeo mazuri ktk ngazi mbalimbali za kielimu,xo content wanayo,sema wengine hawana mbinu..panapo uwezekano,tujitahidi kuirudisha elimu ya vyuo vikuu katika utendaji zaidi.,vitendo viwe vingi ili watu wawe makini lakini pia mianya ya rushwa izibwe kwa kuzipa department jukumu la kuwalea wakufunzi na wanafunzi ili haki iwepo..
 

Ahsante kwa taarifa mkuu!!!kozi zao sijazipenda,naoana kuna masomo mengi tu ya kupotezeana muda na kulazimishana SUP!Sasa hiyo PROGRAMMING ya nn sasa kwa muhasibu??????Lazima migawanyiko za fani mbalimbali ueshimiwe bwana.Mtu mmoja huyohuyo asome Programming,account n.k!!!!!unaujua mziki wa C wewe????????
 
so tofaut ya Baf ya mzumbe,ardhi na muccobs ni nin?

tofauti kubwa ni kuwa,ile ya Mzumbe ni Business Accounting and Finance.,ile ya Ushirika ni Bachelor of Arts in Accounting and finance wakati ile ya Ardhi ni BACHELOR OF SCIENCE IN ACCOUNTING AND FINANCE...tofauti kubwa na ya msingi zaidi ni courses zinazopatikana ndani ya Kila facculty...BAF ya Ardhi ina jumla ya courses 51 kwa miaka mitatu wakati Mzumbe wanazo 25 kwa miaka mitatu...
 

nipo kazini na nauona umuhimu wa hiyo programing kwa sasa...Kila kitu tunachokifanya leo kinaanza kupelekwa kwenye mfumo wa computer zaidi...inakubidi wakati mwingine ulazimike kutengeneza sub-programmes kwa ajili ya in-house working...so angalau basic knowledge inaweza kusaidia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…