Ardhi University(ARU) - Special Thread


Kwa ushauri tu, usipende kuzungumzia mada kama hizi kama huna uelewa nazo!!
 
Sasa ulitak nisemej kuusu ilo..kwa kidog kilichopo unamsaidia mtu.kama uko vizur rekebisha au ongeza..
 
Toa mawazo basi kuhusiana na hiyo kozi mkuu!!
Sorry kwa usumbufu kaka, tusaidie!
kwa kifupi interior design wamebase kwenye kudesign mwonekano wa ndani wa structure. kuna wengine ambao wamebase kwenye landscape. Ila kama una uwezo kasome architecture ya miaka mitano!!!
Sasa ulitak nisemej kuusu ilo..kwa kidog kilichopo unamsaidia mtu.kama uko vizur rekebisha au ongeza..

Sizani kama umeelewa nilichomaanisha.
 
Nimechagua environmental Eng na Municipal and Industrial Eng...... Lakini nikifika nataka nibadilishe niingie Civil Eng.

KAMA point zak hazikutosha kupata civil direct uku ndo ngumu zaidi.. siyo lelemama na inaushindani saana.kubadili kukubaliwa ni ndogo mnooo(ndo ukweli).jaribu kukubalian na ulichoomba..though hakuna kinachoshindikana chini ya jua.karibu
 
Umeaapply?? Pia kuna competition kubwa sana coz huwa hakichukui watu wengi sana

kwanini course zake huwa hazijai watu kwa mfano kwasasa wamechukua watu 82 tu LMV wakati carrying capacity yake ni watu 115?
 

shukrani mkuu
 
Wanapunguza kuchukua wengi kwa koz ya LMV maana ushindani ktk soko la ajira ni mkubwa sana.haina maana ukasota afu ukae bure mtaani japo unaweza kujiajiri
 
M nimechaguliwa BAF,Vp gharama za mwanzo ambazo napaswa kuwa nazo nikija kuripoti?.Naomba mchanganuo wake kwa anaejua.plizz!
 
M nimechaguliwa BAF,Vp gharama za mwanzo ambazo napaswa kuwa nazo nikija kuripoti?.Naomba mchanganuo wake kwa anaejua.plizz!

Karibu BAF mkuu, gharama za direct cost ni 109000/= then kama umepata hostel chuo( coz ni probability kupata hostel) ni 120000/=.
 
Nimechaguliwa interior design nataka nihamie archtecture (ARU).........KWA anayejua procedures msaada jaman
 
Hzo n za kulipia nn na nn?

Michango kama Matibabu ni 50400/= kama hauna BIMA YA AFYA (kama unayo hautoi so gharama inapungua), kitambulisho, registration fee, graduation in short ingia kwenye website utakuta zaidi.
 
Nimechaguliwa interior design nataka nihamie archtecture (ARU).........KWA anayejua procedures msaada jaman

Utaratibu ni kwamba huwa wanatoa muda wa Wiki2 za mwanzo watu kuchange facult but kulingana na matokeo yako (vigezo uwe navyo vya kukidhi kuingia kwenye ile kozi , Ushindani ,pia inatokana na nafasi zilizobaki kwenye hiyo kozi unayoitaka , kama koz unayoitaka imejaa kulingana na kiwango kinacho hitajika basi utakuwa umekosa chance). ki ukweli watu wengi huwa wanabadilisha ila wanapata wachache kwa kuwa kwenye facult nzuri huwa wanaenda wenye matokeo(Ufaulu) bora.
 
Kwa hostel zlzopo karib na chuo znapatkana kwa sh ngap? af pia vyumba vya kupanga karib na hapo chuon vnapatkana kwa sh ngap???????

Msaada plzzzzzz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…