Wanachuo 900 wamechaguliwa kujiunga na chuo kikuu ardhi, 2013/14, uwezo wa hosteli ni vijana 461 tu hivyo vijana 439 kulazimika kujitaftia makazi nje ya chuo.
Kuna hostel ipo maeneo ya lufungira inajulikana kama Savei plaza,hii ni hostel ya mtu binafsi lakini imeingia mkataba na chuo kikuu Ardhi,hvyo inaweza kuchukua wanafunzi 300 kutoka Ardhi,na malipo yake ni 180,000 kwa semister,maji na umeme vinapatikana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.