Ardhio ni nini?

Ardhio ni nini?

It sense like tamanio ama dhamira unayotaka kuitekeleza lkn hizo ni tafsiri zangu tu..
 
Kwakweli kiswahili kimekuwa kigumu siku hizi! mimi tangu wanatangaza sijaelewa maana yake hadi sasa🤣🤣 labda kwa kuwa siku hizi wanasimama na wameongeza masofa🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
 
Ardhio plus ardhia!!🤔🤔 Jibu ni kubalio.😜😂😂
 
Back
Top Bottom