Are non Muslem lawyers allowed in kadhi courts?


Nafikiri mahakama ya KADHI itakuwa inatatuwa mambo ya Waislam kwa kutumia dini/kidini. Hivyo sidhani kama itawezekama kwa Wakili ambaye si Muislam kufanya kazi kirahisi kwenye hizo mahakama.
 
Katika mahakama za kadhi. Hapa mahakimu wote ni lazima wafungamane na sheria za kiislam kwa vitendo. Hivyo ni lazima kwanza wawe waislam. lakini pia hata wanaomsaidia kadhi kutafsiri hizo sheria ni lazima wafungamane na hizo sheria. Kwa msingi huo nao lazima wawe waislam.

Halikadhalika kwa mshtaki na mshtakiwa lazima wawe waislam.
 

Mkuu, kama unazo hizo sheria ningefurahi kama ungetuletea hapa. Ili tuelimishane.
 
Katiba yetu



Kwa hiyo Serikali itakapotia mguu kugharamia Mahakama za Kadhi itakuwa imejiingiza kutangaza dini ya Kiislamu ambapo itakuwa ni kuvunja Katiba!

Mbona kugharamikia shughuli za kuendesha kanisa through MoU, fedha zinazotoka serikalini katiba haikuvunjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…