Are spies made or born?

Mi naomba kumuuliza de'levis kama alishawahi kuua...au kitu gani cha hatari alishawa kukumbana nacho kwenye shughuli zake.
 
Information wanazozitaka kutoka kwako ni kama zipi ili kujua kwamba wewe unafaa au hufai?
 
Mkuu zile ni fictitiously thrilling movies...lakini najua wenyewe wazee wa jando wapo humu!
Wapo na majibu yao utayapata soon,ila for real huwa wanakuwa spoted kwenye ngazi tofauti, wapo huwa spoted vyuoni, sekondari na wachche makazini,
 
Dah hii imenikumbusha zile business school of thoughts ya kama Enterprenuers are born or made! Hapo ndo utapata jibu using same facts!
 
Uzi mzuri lakini mna uharibu na Comments zisizo na msingi kabisa, Hata kama ni ku update uwe Juu ila sio kwa style hio kwa kweli, Uacheni ili na sisi wengine tupate kujifunza
 
Mkuu wale jamaa kwa nchi za wenzetu huwa wanazaliwa wakiwa na baadhi ya attributes/tabia fulani hivi kisha wanaongezewa tradecraft/ujuzi wa kimafunzo...baada ya hapo weeee wanakuwa ni moto wa kuotea mbali...!
Mbona unatuvuruga sasa mzee? Unauliza swali afu unatoa maelexo tena? Majibu utakuwa unayo!
 
However: Katika nchi corrupt kuna uwezekano wa kukuta spies wasiostahili, yaani ambao IQ zao zipo chini sana...
KATIKA NCHI ZETU HIZI HILO TATIZO NI KUBWA SANA TOFAUTI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…