ASSASSINATION
neno assasination linaaminika limetokana na neno "hashish"..hii ni dawa sawa na bange ambayo iliaminika kutumiwa na bwana mmoja anaitwa hasan-dan-sabah ambayo alikuwa akiitumia kuwapa motishawafuasi wake katoka kutekeleza mauaji ya kisiasa,kidini,na mengine kwa garama ya kutoa maisha yao wenyewe..
Kwa hiyo neno assassination lilitumika ktk kutekeleza mipango ya mauaji kwa mtu ambae hayupo katika serikali au kikundi flan ,au chama nk..lakini uwepo wake nje ya moja ya vitu tajwa hapo juu ni mwiba kwa watawala kwa kuwapinga kuwakosoa nk..na hivyo walio juu kutaka kumuonabkwa kumuua ili kuwapa nafas yabkufanya watakavyo na kwa nafasi kwani mkosoaji mkubwa anakuwa amepumzishwa milele..
Sasa basi katika kutekeleza mauaji ya kupangwa huwa hakuna mahali popotr pale ambapo maelezo huandikwa ya ya namna ya kuua mtu flan..watu wachache huhusika katika mpango huo,hakuna report itakayotoka baada ya zoezi kukamilika isipokuwa vyombo vya habar na mitandao itariport juu ya kilichotokea ktk hali ya kawaida..
..madaraja ya mauji..
Kwa kawaida mauaji ya kupangwa huwa na madaraja yake kulingana na mlengwa anaetakiwa kuuawa..iwapo mlengwa hajui kama kunanwatu wanfatilia na hana ulinnzi wowote basi zoezi zima la kumuondoa hujulikana kama "simple process"
Iwapo anaepaswa kufa anajua kuwa kunanwatu wanamfatili na maisha yake yako hatarin lakin hana ulinzi wowote wa kibinadam zaid ya ule wa kimungu ambao ni asili zoezi zima la kumueliminate huitwa "chase"
Kwa yule anaejua kuwa anatafutwa auawe na ana ulinzi zoezi la kumuondoa linaitwa "guaded"
Sasa basi iwapo muuaji nae itampasa kufa pamoja wakat anatekeleza tukio basi zoezi hilo lote litaitwa "lost"
Kama muuaji itampasa kutoroka mara baada ya kutekeleza mauaji zoezi zima litaitwa "safe process"..na hapa muuaji lazima awe mwangalifu ahakikishe haangukii mikononi mwa adui..
Lakini pia iwapo aina ya kifo anachopaswa kufa mtu anaetafutwa wauaji wanataka kionekane si cha kupangwa ila ni ajali au kifo cha kawaida basi zoezi zima litaitwa secret
..pia iwapo wauaji wanataka zoezi zima la mauaji lionekane galina mkono wa mtu zoezi zima litaitwa open..
Na mwisho iwapo anaepaswa kufa ana umuhimu mkubwa katika jamii na hivyo akifa itareact au akijeruhiwa watu watareact bas zoezi zima al kumuondoa lazima lionekane ni la kigaidi na hivyo litaitwa "terrorist"..
Sasa basi kwa mtu anaetaka kutekeleza amauji na atoroke lazima awe na sifa zifuatazo:.
Awe jasiri
Anaejiamini
Mwenye maarifa(intelligent)
Awe na shabaha
Ajue kutumia silaha kikamilifu
Awe na plan zaid ya ya moja katika kutelekeza shambulio
Lakni pia iwapo mtu anaepaswa kufa anatakiwa afe ba kifo chake kionekane ni cha kigaidi na gaidi atoroke lazima mtu huyo awe na ujuzi mkubwa kichwani..alijue vyema eneo litakakotekelezwa shambulio..asiwe na mawasiliano yoyote zaid sana anakuwepo mtu mmoja wa kumpa maelezo tena kwa mdomo na huyu ndo atafanikisha kutoroka kwa gaid..
Iwapo muuaji anapaswa kufa wakat akitekeleza mauaji lazma atafutww mtu ambaye ana imani au itikadi kali ya kidini,kisiasa nk..mara nyingi watu wa aina hii kisaikolojia huwa hawako sawa maana akili yake imetawaliwa na itikadi kwa hivyo ukimvalisha bomu na kumwambia ilipue sehem flan ..mara moja atatii..kitu kimoja kwa mtu wa aina hii lazima umuhandle very carefully..maana ni rahisi kubadilika..
Sasa kama yote hapo juu yamepangwa na wakubwa wameridhi kabisa juu ya kumuondoe mtu flan kinachofuata sasa ni kupanga mipango ya namna ya kutekeleza zoez zima..na hapa wauaji wataangalia aina yabkifo anachopaswa kufa wanaemuhitaji yaweza kuwa sumu,ajali,moto,risasi,ugonjwa nk kulingana na mtu wanatafuta yuko katika hali gani..anajua lama anatafutwa au la..ana ulinzi au la..
Kwa hiyo watamfatilia kwa kipindi flan ili wajue ratiba yake ya siku nzima,njia anazopota kila siku,watu anaokutana nao,vinywaji anavyokunywa nk..
Wakishajua yote hayo basi eneo la wapi watekeleze azima yao hupangwa,aina ya kifo hupangwa,mda,silaha nk..
Na kisha ni utekelezaji..
Nimelazimika kusema hayo maana huko tanzania kuna mtanzania amepigwa risasi kwa kile kilichielezwa kuwa yy ni adui wataifa..amenunuliwa na mabepari..na pia anaipinga serikali..ndugu tundu lissu..ukiangalia na kwa maelezo yadreva wake..wauaji walikuwa wamejipanga sawa sawa kumuondolea uhai..
Ni bahat nzuri Mungu amemponya maana mbeba maono huwa hafi mpaka maono yake yatimie..
Tundu alijua anawindwa lakini hakuwa na ulinzi
Wauaji walimfatilia tangu akiwa dsm mpa dodoma
Walipanga baada ya tukio watoroke..
Naweza kusema kwa risas zote 38 lwa mujibu wa alama za matundu kwenye gari lake, wauaji walijipanga kumuondoa na kisha kutoroka..kwa kuwa amepona na mpaka leo ni siku ya kumi yuko hai..wale waliopanga,kusimamia,kutekeza mauaji sasa wanafanya jitihada kubwa za ku-spine tukio zima..lakinj pia wakitisha raia wa kawaida wanaohoji kwa nini tundu lissu apigwe risas..nguvu kubwa hii ya kukamata hata mtu alievaa tishet yenye picha ya lissu ni dalili kwamba jambo hili lilipangwa na watu huko juu..
Wale waliopewa jukumu la kutaka muua lissu Mungu alihamisha uwezo wao ili kumuokoa lissu....walijiamini kupita kiasi..ukiangalia matundu ya risas kwa mtu makini utabaini mambo mengi kama vile
Hawakujipanga kwa maana ya kupata mafunzo ya kutosh
Kwa maelezo ya dreva lissu alikaa ndani ya gari kwa dk 20 kitu ambacho wauaji hawakuaminiaana nadhn wao plan yao ya kwanza ilikuwa ni kummiminia lissu risas atakapokuwa ameshuka kwenye gari..hivyo kitendo cha lissu kukaa ndanj ya gari kwa dk 20 kikahamisha plan ya kwanza ya wauaji..na hivyo kuanzia kumimina risas ovyo kuleekea kwenye gari la lissu..huku wakikosa shabaha..
Hawakuwa makini
Hawakuwa na maarifa(intelligent)..
Pongezi za dhat nampa lissu na dreva wake kwa kuchukua hatua stahiki wakat wakiwa ndani ya gari kitu ambacho kimeleta madhara madogo..
Dreva wa lissu angekuwa na silaha kwa amaelezo aliyotoa angeweza kuwauwa wale wahalifu..
Get well soon Lissu
By De'levis..
Vatican