Are spies made or born?


Duhhh darasa la ukweli
 


nawezakusema mara nyingi kuwa hilo linatokea kuwa waliomo ndani basi iwappo wameona anayefaa wanaweza kupendekeza kulingana na mahitaji ukizingatia kuwa kazi hizi huwa hazitangazwi kwenye magaeti wala redio au humu mitandaoni.....wanaweza kutumia njia hiyo ya one brings one au njia nyingine kabisa toafuti zipo nyingi... lakini pia mtu si kwamba wa ndnai akipendekekeza jina basi amepita..hapana... kuna uchunguzi wa kina sana unafanyika kuona kweli huyu mtu anao uwezo wataangalia vitu vingi personality,psychology na vingine vingi kwa kina kabisa...watakuchunguza unatembeaje, nywele zako unazichana vipi au kunyoa vipi (hii ina maana kubwa ktk kujua tabia ya mtu), ukitembea unatangulia mguu gani, macho yana rangi, ukilala unalala vipi kumbuka namna unavyolala huwa kwa kiasi kikubwa ina reflect tabia yako..kuna wengien wanalala chali, kifudifudi, ubavu huku wamekunja mikono na kuwa kama ndio mito ya kulalia nk nk.. unapendelea nini, na hata wanawake unaopenda ni wa aina ipi, wanene, weusi , warefu ,wembamba nk ..kama umeoa lazima mkeo achunguzwe na kama una mchumba lazima achunguzwe kama wewe umeonekana unafaa lakini mchumba hafai unawe shauriwa kuachana nae...hili linatokea tena sana tu..


hao wamarekani wanaweza kuwa na hiyo policy uliyosema lakini pia unaweza kumchunguza mtu kwa jujuu tu usijui dhamira yake ya dhati ..ukapendekeza na akaingia halafu huko mbele akawageuka..maana yake akawa double agent au triple agent..hao wamarekani kuna mahali walinufaika na hao double agent lakini pia kuna mahali walilia sana.
ngoja nikupe mfano mmoja.Issue ya doble agent inatumika sana katika hizimission ili ku-infiltrate enemy territory
ingawa sometimes inback-fire.Successful mission mojawapo iliyotumia double agent ni ile iliyomuua yule imam wa yemen mzaliwa wa marekani Anwar Al Awlaki. Huyu alikuwa anatafutwa na marekani kwa kuhusika kwake na 9/11 ambapo ilikuja kujulikana kuwa hijackers watatu wa 9/11 walikuwa wanasali kwenye msikiti wake. Vilevile moja wao alieongoza flight 77 alikuwa na namba yake kwenye diary yake. Huyu imam alikimbilia yemen akajificha huko. Kilichomponza ni kuwa mahubiri yake mengi alikuwa anayapost kwenye U-tube mpaka kuna wakati CIA waliomba kibali congress ili waondoe baadhi ya
mahubiri yake yaliyokuwa yana-incite jihad kwenye utube.

Sasa alipokuwa yemen CIA kwa kushirikiana na Danish Intelligence Agency PETwakam-recruit kijana mmoja wa denmak
ajulikanaye kama Storm aende akazoeane naye. Yule kijana akajifanya naye ni sympathizer wa jihadi akawa naye anachangiakwenye mahubiri anayotoa Anwar kwenye internet mwishowe akaenda yemen kukutana na Anwar. Anwar akamweleza kuwa anapanga kushambulia kwenye ma-supermarket makubwa marekani kwa kutumia biological weapons.
Baada ya mahusiano ya mudamrefu Anwar akamwomba amnunulie Flash am-downloadie magazeti ya marekani ili ajue wanamwandikaje kwa kuwa yeye alikuwa mafichoni. Hapo ndipo CIA wakampa Storm flash disc yenye tracking micro-chip. Wiki moja tokea ampe ile flash CIAwalituma drone ikamuua akiwa kwenye gari na wenzake watatu baadae wakamuua
na mtoto wake hii ni moja ya faida ya double agent. Lakini hii technique yaku-recruit doble agent huwasometimes inaback-fire kwa sababu huwa subjected to loyality. Si unakumbukakule Afghanstani kwenye base ya marekani ya kupambana na mitandao ya kigaidi yaalqaeda, Haqqan na talebani inayojulikana kama CAMP CHAPMAN kilinuka mwaka2009.

CIA na Jordanian Intelligency walim-recruit Jordanian doctor aliyekuwaanasympathize na Alqaeda aliyejulikana kama Humam Khalil Abu-Mulal al- Balawiakawa "TRIPLE AGENT", Huyu anatoka kijiji kimoja na Alqaeda leader in Mesopotamia
Abu Musab Al Zarqawi. Sasa Al Balawi alifanya kazi na CIA na kuwapataarifa za ukweli walipo wapiganaji wa Alqaeda na ikawa ni kweli CIA wakituma drone inawaua. Si wakamwamini, akawaambia yeye atawafanikishia CIA kumuua aukumkamata Ayman Al Zawahil, CIA wakaingia mkenge akawa akiingia kwenye base yao ya chapman hawamsachi. Siku
akawadanganya anataarifa muhimu sana kuhusiana na Al Zawahil hivyo anahitaji kuonana na top officials wa CIA, Basi yule mama ambaye alikuwa Chief of operation katika ile base anaitwa Jennifer Lynne Matthews akawaita hadi maafisa wengine wa CIA kutoka Kabul, alipofika getini hakusachiwa ingawa kunamageti matatu, maofisa wote wakatoka kumpokea nje, kumbe kajifunga bomu la kilo15 akalilipua aliua watu 9 palepale na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Hii ndio risk ya ku-recruit double agent hauwezi kujua loyality yake ipo kwa nani. Mara baadaya kujitoa muhanga na kuuwa maofisa wa CIA, kiongozi mmoja nduguye Baitullah alionekana kwenye videofootage iliyorushwa kwenye channel za TV Pakistani akiongea kuwa amefanya liletukioa kama kulipiza kisasi cha kiongozi wa Alqaeda Pakistani Baitullah Mehsud aliyeuwawa na CIA kwa drone.

kwa hiyo unapoepndekeza jina la ltu lazima uchunguze mambo mengi na kwenye kazi hizi kuna ku-trust mtu hata kama ni mkeo au mwanao..watu wanageukana sana na kuuwana vibaya mno na kwa kiasi kikubwa mtu wako kwa karibu ndiye adui yako namba moja..maana yake lazima uishi kwa tahadhari mda wote na kila mtu umchukulie kwa tahadhali...kumbuka wasiwasi siku zote ndio akili..
so nimalizie kwa kusema kuwa kila nchi ina sera zake na upatikanaji wa watu hawa ila kila anayepatikana lazima afinyangwe upya ili kukidhi haja ya kile alichokusudiwa kufanya...

ukitaka suti nzuri lazima fundi aharibu kitambaa...
 

Mmmh! So kuna double had tripple agent!!
never trust anybody!! sio unajiachia kwa kila mtu!
 
ngoja niendelee kuangalia hizi movie na TV series zitanisaidia kupata fununu..:cool2:
 
tazama movie inaitwa Recruitor utaona jinsi wanavyo wapata na si kuangalia ukaribu na watu walio kwenye system tayari
 
hiki ndicho knanfurahsha jf watu wanajua mambo meng mpaka raha
 
Mmmmmmmh humu kuna ma-carlos.... ma osama.... mi nasepa... ila haya majamaa ni maelewa sana ila mi naogopa mengne yanamajina yA madawa.... sijui morphine.... polonium... lingne linajiita.... dengue.... harafu kwinin.... mi siji tena hapa.....
 
spying is not a glamorous lifestyle. Once a person starts, the initial euphoria (happiness) wears off quickly and they find themselves trapped with an exhausting ‘second’ job where any minute they may get caught.
Hivyo sio kazi ndogo mdogo wangu!!!
 
Kama unataka kuwa na good spies then nilazima iwe ni kwa kuzaliwa na ukiangalia dola la wa israel ina spies wazuri sana duniani na hata dunia inatambuwa hilo why kwakuwa ipo ktk damu yao ukimpata mtu ali spies kwa kuzaliwa ni fanisi kuliko wakumtengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…