Are tall men more desirable??


mwanamke ukiwa mfupi alafu men mrefu unakuwa kama umekumbatia mti
 
mhm...kwweli. ila nwana ata wanawake warefu wanamvuto sana yaani acha tuu alafi wapole kweli mie nawapenda sana haswa demu akiwa amevaa high heels alafu anipite urefu kidogo hapo nadataaa
 
lakini ni kweli wanaume warefu ni wazuri bwana.umkute tena black then kajazia kiaina kabla hata hajamaliza kusema unahamia

Nashukuru japo siku moja moja na sisi ma OSCAR TALL tunafagiliwa !!!
 
mwanamke ukiwa mfupi alafu men mrefu unakuwa kama umekumbatia mti

ukiona picha za kim kardashian na mtalaka wake, chris humphrey, ndo utacheka... tofauti ya kimo ilikuwa kubwa na walikuwa so disproportionate kimaumbile kiasi cha kuonekana so comical... mambo ya kusifia urefu nk ni media hype tu ambayo wengi wetu tunacopy na kupaste
 
Mimi mfupi, mbishi, lakini hodi haziishi mlangoni kwangu. Bongo ni kujiamini tu bwana, vilevile pesa kwani wanawake wote wananunulika sikuhizi, kwani kuna aina nyingi za kununulika.
 
shortness or tallness does not mean love, love is love, tall is tall and short is short, and stamina is stamina however stamina and true love coupled by sufficient care is more valuable than shortness and tallness.
 
shortness or tallness does not mean love, love is love, tall is tall and short is short, and stamina is stamina however stamina and true love coupled by sufficient care is more valuable than shortness and tallness.

good and realistic observation, siyo issue za kufikirika
 
Humu kuna mtu Ana bifu na mimi..... Ngoja nirefuke muone
 
mtu anakua mrefu au mfupi ukijilinganisha na wewe! kwa hyo hata we m'me unaeonekana mfupi kwa wanawake fulani basi kuna wanawake wngne wanakuona ww mrefu na wanavutiwa. hv kweli mwanamke awe na urefu wa 140 cm eti avutiwe kuwa na mwanaume mwenye urefu 200 cm wapi na wapi! akimhag badala y kulalia kifua analalia tumbo! SO SIE WANAUME WAFUPI TUWE COMFORTBLE NA HII THREAD! KUNA WANAWAKE WANAKUONA WE MREFU KWAO NA WANAVUTIWA NA WW!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…