Bila shaka wapo mkuu,.....maake hawa wanaoitwa freemasons ni watu smart sana upstairs lakn watu wa dini wanasema ni wapinga kristo na hivyo watakuja hukumiwa kwa kupewa adhabu na Mungu wakifa.
Mimi ninachofikiri ni kuwa wako na information za siri kuhusu kweli ya ulimwengu...hizo walizotoa kwa kupitia vitabu vya biblia na quran ni just robo ya siri,...ambazo zingine hawataki tujue wameamua kutuachia kina yakhe tucheze ngoma tusio ijua.