Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?


katika movies wanaweka subliminal massages ambazo mara nyingi zinatumika kuashiria kitu fulani huku audiences hawaoni.... through sub-conscious minds za watu hizi informations znawafikia watu wote wanaotazama movies hizo
 

Wengine hatuelewi kingereza, kwani ukipost kwa kiswahili utakufa mkuu?
 
Wengine hatuelewi kingereza, kwani ukipost kwa kiswahili utakufa mkuu?

Mkuu sitakufa. Ila tatizo ni (1) muda, ndio maana hata hii nieandika vipande vipande na pia (2) lugha yetu nayo misamiati yake bado haijitoshelezi hasa kwenye eneo kama hili ambalo kidogo kuna mambo mengi ya sayansi ya juu. Isiwe tabu nikipata muda nitaandika kwa kiswahili lakini kwa kujaribu tu na kuchanganya na kiingereza pale inapobidi. Natumaini tuko pamoja.
 


The late Carl Segan once asked this question "what does it mean for a civilization to be a million years old?" We have great technology and inventions like Huble Space Telescope plus in a few decades to come scientists will be able to invent even more sophisicated technologies such as SpaceInterferometry Mission which is 10 times powerful than Huble Space Telescope. With the right technology scientists will explore outer space which i personally believe the status of civilization we have achieved so far will be pushed forward to another level called Civilization Type I. Also as time goes on the civilization will advance to Type II and Type III which is the last stage of civilization because at this stage the life is imortal. I mean we living creatures will have been already mastered the science of consuming energy (not fosil energy) without possing any distraction in the planet we live.

Using the laws of Phisics such as thermodynamic or laws of stable matter scientists learned that in a period of 5 thousand years perhaps the civilization Type I will be attained. One has to note that this development is possible because the invention in technologies such as SIM (Space Interferometry Mission) will enable scientics to learn about new ways of consuming solar energy which according to NASA the planet earth receives about billions of energy from the sun but only small amount is consumed. We depend too much on fosil fuels which is the reason our world is polluted and cause great environmental challenges.

I do not believe there other civilizations which exist in other planets but what i believe is that our civilization will advance and attain the civilization Type III million years to come. Those stories about extraterrestial civilizations made in Hollywood is a work of fiction which is half of the truth. Let the scientists do their works and only them can tell about the Physics of Extraterrestial Civilization.

Also i don't think there is such a thing like Civilization Type IV or V. Civilization Type III is the level of civilization whereby living creatures have attained the so called Imortality you can not advance from this level.

Thank you. Nimejifunza mengi toka kwako hataivyo. I am not scientist i learn all these from a friend who is theoretical physicist.
 
ntakuwa wamwisho kukubaliana na wote mnao amini katika hawa viumbe mbadala,kunakipindi nilite uzi hapa kuhusu hawa viumbe nikauliza kwanini huku kwetu hawaji nikajibiwa eti wana kwenda sehem zenye technologia advance kama USA hivi..mimi naona ni imagination story tu kama tulizo wahi kuwa nazo hata katika vitu vyetu vya darasani kama vile wale watoto walio kataa kumsaidia bibi mzigo wa kuni na kugeuka kuwa mawe na hadithi nyingine nyingi kuhusu mazimwi watu..Sema hawa wenzetu kuwa na advance tecnology namambo yote haya wanajaribu kutufix twende huko...

Kama maendeleo naukuwaji wa technology zao hutegemea malghafi toka Afrika kwanini Aliens wasione umuhimu wa kuvisit Africa ambako competitors wao katika maswala ya universal wanakuja huku malighafi....

Nachojua mii haya ma Pyramid ya hapo Misri ni ujuzi wa mwafrika katika katika maswala yote ya science,The first architect, the first philosophers, astronomers
The first prophets and doctors was
 
Interesting thread kwa kweli. though I also don't quite agree on the existence of these beings, I suppose it is more of an imagination that reality.
 

Mkuu pengine upo sahihi. Hawa viumbe waoiitwa Un-identified Flying Objects ni utata mkubwa. 1. Inatia wasiwasi kudhania kuwa mtu anawezaje kujua kitu ASICHOWEZA KUKI-IDENTIFY. Nadhani hii kitu inafaa kuitwa Extraterrestrial Civilization kwasababu tunapenda kuhusisha viumbe hawa "tusioweza kuwatambua" na uwezo mkubwa wa kisayansi (Physics of Extraterrestrial Civilization).

Hata hivyo mimi naamini jinsi miaka inavyozidi kwenda kuna uwezekano mkubwa living creatures (sisi wanadamu) tukafikia maendeleo ambayo yako katika stage I, II na stage III. Tunaita stages of Civilizations. Tukifika stage I (kwasababu bado tupo stage 0) mwanadamu ataweza kuepuka changamoto kama vile tatizo la environmental pollution, hunger, civil wars kwasababu hakutakuwa na ushindani mkubwa katika matumizi ya fosil fuels ambayo matumizi yake yanaharibu sana dunia na kuleta matatizo niliyoyataja kwenye sentence ya tatu katika paragraph hii. Hii inakadiriwa itachukua karibu miaka 5000 toka sasa. Wana-sayansi wanatumia laws hizi hizi za Physics kama Thermaldynamic au Stable Matter kujua haya yote.

Leve II ya Civilization nayo itakuwa tofauti na level 0 au I. Hapa mwanadamu ataweza ku-exploit energy kutoka kwenye nyota nyingine tofauti na jua. Ikumbukwe kuwa hadi mwanadamu anafikia maendeleo ya civilization stage I energy ya jua itakuwa exploited kiasi kwamba itakuwa haitoshi kuendana na mahitaji ya wakati huo kama ilivyo sasa kuni hazitoshi, oil huko uarabuni inazidi kuisha hivyo hivyo energy ya jua nayo itakuwa imepungua sana. Mwanadamu ni kiumbe mwenye akili sana na watu watakaoishi kipindi hiki cha civilization level I watakuwa na maendeleo ambayo kama utabahatika kuamshwa toka usingizi wa kifo basi utastaajabu sana kuona jinsi mwanadamu amepiga hatua katika science.

Asante.
 

Hello Mwelewa, Thanks for your comment. Well, I agree that there are several hypothesis about those types and I have learned the 3-types category as well but due to some reasons I presented the other (5-types). The 3-types of civilization category is basically based on energy consumption therefore leaving out other factors which are interesting to understand. You know, when things we don't know much are hypothesized, opinions from experts of the field are collected and grouped according to their similarities in order to get the general possible ideas that we can depend on as our best opinion. In this case even the answers of these hard questions are set in same paradox. Thanks again.
 
Mara chache huwa nafika mwisho wa threads na comments zake zote... Leo ni mara nyingine. nimejifunza machache, hili la filamu za wenzetu kututayarisha juu ya mambo yajayo kuna ukweli jamani, haiwezekani yote yakawa fiction tu, wanatoa wapi mawazo hadi wanaandika complex scripts kama hakuna truth ndani yake??
Asanteni waleta threads na wachangiaji.
 
Tuache masihara mkuu, hivi unajaribu kusema nini?
Movies kumbe zina effect kubwa sana


Nilichomwelewa mm....mtu anapotunga muvie lazma awe na idea....idea hio inaweza kua ya Kweli au ya kufikirika.....au kasoma somewhere so anajaribu Kuweka alichokisoma katika picha.....
So possible aliyetunga hii movie Ana idea ya Io class ya ao viumbe
 


Kajaribu kuangalia stargate Atlantis......nayo Ina mambo mengi tusiyoyajua!
 
Kwa wale wenye vinga'amuzi vya DSTV kuna movie huwa zinaoneshwa kwenye channel inaitwa Action Movies, zinaendana sn na hii story ya Aliens.
 
Kisemwacho naamini moja kwa moja kuwa Kuna viumbe vingine zaidi yetu hapa hapa duniani na hata katikasayari zingine ambazo tumeshazifanyia uchunguzi kwa level yetu ya technology na hata Hizo zingine ambazo ziko billions of miles away from our solar system.
mfano mdogo tu, kama Kuna spiritual beings kama malaika , majini. Je tusiamini uwepo wa hawa aliens?
 
Viumbe katika anga za mbali vipo lakini ni zaidi ya uhai tunaojua sisi.

Mkuu Monstagala a.k.a Mgalanjuka naomba ushirikiane nami kwenye maswali yafuatayo
(1)ulisema ET class5 ni viumbe walio much primitive than us, they can't even send signals through space, so how can we categorise them kwamba wapo hivi sijui vile au strong than us???
(2)ulisema ET class5 ni viumbe walio much wiser and advanced than the lest, kitu ambacho sijakielewa ni zile shape zao ambazo ulisema some looks like ants and some like eiffel tower, nikitafuta uhusiano kati ya ants and eiffel tower the answer is infinite???, pia naomba unieleweshe juu ya dark energy (kiukweli kwangu ni mara ya kwanza kuisikia), how it is used? How it is converted? How it is??
Samahan ndugu, cjapanga vizuri maswali yangu ila nnacho hitaji nipate pa kuanzia ku acqure hiyo knowledge ambayo nipo interested nayo sana

.made in mby city.
 
Aliens inawezekana wapo sababu hata mmoja wa watoto wake na Adam alioa nje ya bustani ya Eden je jiulize ni nani aliolewa na alitoka wapi

Ndugu yangu kwenye bible hua haifafanuliwi kwa akili za kibnadam Bali kiroho
Sorry ukihitaj kuijua bible vizuri muombe mungu akufunulie
Kwan hapo mtoto wa Adam alipooa mke nje ya bustn ya eden n ukielezewa n tofauti kabsaa name uwazavyo...
 
natamanig kujua haya mambo ila cjapata ninachokitaka
 

Seems to me these are scientific explanations of angelic beings,demons and their kinds,i.e seraphims,cherubims,nephilims etc.remember what Ezekiel saw?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…