Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Niko interested mkuu hebu dadavua, matumaini gani hayo ambayo unahisi tutapoteza?

Go ahead and read more posts after that one. Ni "dhana" sio mimi nahisi. Zaidi sana ni kwamba the more complex the the life we found, the more depressing the news of its existence would be. Scientifically interesting, certainly, but a bad omen for the future of human race.
 

Mkuu huwa unanistaajabisha sana na hoja zako ...

Kuna jambo ambalo nataka ushee na mimi ila liko nje kidogo ya mada hii,je uko tayari mkuu?
 
Mkuu huwa unanistaajabisha sana na hoja zako ...

Kuna jambo ambalo nataka ushee na mimi ila liko nje kidogo ya mada hii,je uko tayari mkuu?

Mkuu Eiyer niko tayari lakini si katika uzi huu. Kuna mada moja ntaku-tag tunaweza kuhabarishana huko soon. Thanks.
 
Last edited by a moderator:
Hii Ancient Alien theory ni very intresting

Inawezekana hawa viumbe waka future human beings wamerudi past kwa time travel.
 
Hii Ancient Alien theory ni very intresting

Inawezekana hawa viumbe waka future human beings wamerudi past kwa time travel.

Natamani sana kuelewa ulichoandika hapa lakini nimetoka kapa!
 
Malaika wote...Gariel,Michael, Yesu, Roho Mtakatifu etc..ni Aliens. Na knowledge nyingi zimefunuliwa na Aliens au wafuasi wa Aliens.Na kuna walioamini ktk roho ambazo ziliruka maeneo fulani ya Anga na kusikia ming`ongo ya Mbingu na kuja duniani kudanganya wananchi kwa story za kuunga unga.Hao hadi leo vitabu vyao havina habari za kweli.Ila vijimaneno walivyovisikia ktk maeneo fulani ya Mbinu kabla ya kufukuzwa,na walipofika duniani pia walichukua vipande vya rumours na kuviita habari za kweli.Hao ndio sio UFO. Ila ni wa underground kingdom
 

Am becoming interestedcin knowing more about these 5 groups creatures.
 
Habari zenu wana Jf, wazima tumshukuru Mungu na wagonjwa pia numuombe Mungu. Mimi napenda sana kujua mambo ya angani ijapokuwa sijui vitu vingi lakini hata hivi nivijuavyo vinanifanya nije kuuliza hapa kwa wanajamvi. Kumekuwa na habari mbali mbali kuwa kuna uwepo wa viumbe toka sayari nyingine yaani alliance ama wengine nasikia husema UFO, na kwamba viumbe hawa wamekuwa na uwezo wa kiteknolojia wa hali ya juu sana lakini pia wanasema hata marekani wamebadilishana nao baadhi ya ujuzi wa kisayansi na teknolojia. Naomba neno lolote mulijualo kuhusu viumbe hawa. Karibuni kwa michango yenu.
 
Nenda jukwaa la intelligence hii mada imechambuliwa kule vilivyo.
 

huwa napita pale coet nashangaa sana na kujiulza maswal meng spat majib..huwa najiulza,ivi wale wanafunz magenius wa pcm wanapatag div I za 3 had 5 si ndo wanasoma apa? na je mban sioni ata chochote walichodiscover ata ku asemble mashine za kusaga!?,au wanasoma tu handout na kujib test bas?..najiulza ten,kuna uhusiano gan kat ya tume ya sayans na tech na vyuo vikuu katika kusupport innovation?..
bas najikuta nmesem shkamoo veta..
 
Hata mimi nimekuwa nikisikia kuhusu viumbe hawa lakini sijapata habari kwa kina.
 
Haya mambo ya anannuki yameletwa na m2 anaitwa zecharia sitchin Author alidili xana na Ancient astronauts.Ameuza nakala mamilion za vitabu kualalisha upuuzi wake..
 
Notable Reptilians: George Bush Sr., George Bush Jr., Richard Cheney, Al Gore, Colin Powell, Queen Elizabeth and all 4 sons including Prince Charles and Prince Andrew
Yaani hii inakuwaje?
 

Wewe mwenyewe sio alien kweli?
 
Mkuu Monstgala umewahi kusikia lile tukio la Roswell?
Umewahi kusikia mkataba alioingia Eisenhower na alliens 1952?
Umewahi kuisikia Dulce underground military base?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…