Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?


Mkuu unazungumzia ile jewish mythology ya Adamu kuwa na mke mwingine kabla ya Eve aliyeitwa Lilith?na kwamba huyo mama ndio mama wa majini?
Well,wengine wanasema lile tunda alilokula Hawa ni tendo la ndoa alifanya na malaika Samael ambaye ni jamii ya malaika wenye miili ya dragon wanaoitwa draconians,akazaliwa Cain,na lile fungu la Adamu kumjua Hawa na kuzaliwa Cain wanalitafsiri vingine kabisa kwa kiebrania.
Wanahoji kwa nini Mungu aseme "nitaweka uadui kati ya SEED ya mwanamke na SEED YA NYOKA,je shetani ana kizazi?
Hapo yanazungumzwa mengi hasa kwenye kitu kinachoitwa "Holy grail",kwamba ni bloodline ya kishetani from Cain to present day .
Nachunguza hii habari,bado kuna mambo hayajaeleweka kwangu.
Ninachojua ni ile ya fallen angels wakati wa Enock,wale grigori akina Azazel,ila hii ya Eden,dah!naifuatilia bado.
Historia ya dunia imejaa mambo mengi hayazungumziki katika kizazi chetu.
 
It's among of the Princess Diana's death conspiracies. Hakuna kitu kama hiko mkuu
 
Ndugu zangu napenda sana kuskiliza habari za hawa viumbe wanaoitwa ELIANS na pia nataka kujuzwa kwa ajuae ni kweli hivi viumbe vipo au ni HADITHI km ALIFU LELA ULELA ?
 
I think the idea about aliens is simply a myth.
There's no reality or anything whatsoever ..I think scientists are trying to invent their own "scientific bible" that can interprets the so called celestial world in a more scientific and perhaps more convincing for the world scholars than what all world'sreligions are doing rit now.

They are trying to prove scientifically that all papas, ayatollaz, mullahas, caliphates, gurus and monks are wrong.

And may be this could be part of New World Order agenda.
As it said the mass(goyim) are likely to fall to one big lie than few. Anything that is repeatedly stated in the end, is likely to be believed as genuine truth.
 
ahsante mkuu kwa ufafanuzi
kuna article moja nlibahatika kuisoma inayo suggests that earth is hollow and not perfect sphere
inasemekana katikati ya dunia kuna civilizations known as AGHARTHA
hio article imejaa habari nyingi sana ambazo ukizikadilia utaona ni za kufikirika (UTOPIAN)

Lakini mkuu Andrew Nyerere kama unaijua vizuri hii kitu tujuze vizuri naona umeigusia kwa mbali.

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
ukisoma Hizi ancient religion utaona zimejaa backward understandings ya the real world ambayo ni very controversial kwa wasomi wa kileo tunavyoelewa. Mfano "The earth is flat", End of the world, The sun rotate the earth.Jua linazama kwenye tope, shooting stars(Vimondo) vinafukuza majini wasiende peponi n.k.

Ukifuatilia pia Eneo maarufu la Area 55 nchini marekani ndio eneo lililokuwa maarufu kwa kudaiwa Alliens ama UFOs wamekuwa wakishuka kutoka sayari nyingine kuja duniani. Ni hivi karibuni limekuja kuelezwa n eneno la kitafiti lililowekwa na serikali ya marekani la kuunda zana za kijeshi na ndege ili kujihami na iliyokuwa Urusi ya sovieti.
Ni eneo lenye utafiti wa silaha na ndege za kijasusi na za kijeshi.
Habari za UFO tena hakuna pale.
pia ukisoma taarifa za Adolph hitler utaona alikuwa anamichoro na mkakati wa kuunda vifaa vya aina hii vyenye maumbile ya UFOS zinazodaiwa kuonekana sehemu tofauti tofauti duniani.

tunataka kuamini wazungu wamelala usingizi kwakuwa sisi tumelala pia. wakati sisi tunatafuta shelter kujikinga na umande na baridi wazungu wanawaza kuhama sayari hii kuamia mars.



tukiendelea kudanganywa kuhusu UFOs, wakati hakuna hata kiumbe aliyekamatwa wala kupatikana rasmi mpaka sasa, tangu miaka ya 1900, ni wazi tunajitenga na ukweli na kukubali Ajenda za secret societies zinazofukia ukweli kwa kuzungumza uongo.
hata hizo picha za UFos za viumbe wenye macho makubwa bila pua, zinatokana na moviez za miaka ya 50s zilizotumika kupropagate hii idea ambayo mpaka sasa haijaonekana uhalisia wake.
 
Sijui ni comment gani unayozungumzia niliyoandika kuhusu UFO. Lakini kama unataka kufahamu kuhusu Agartha,Lobsang Rampa ameanika kuhusu Agartha katka 'Twilight',ameandika expose ndefu sana.
Kuhusu UFO,ukienda ITV ukisema umeiona UFO,umekutana na aliens,what will probably happen ni kwamba CIA will come knocking at your door,and will till you to ''come with us'. They will tell you they want to quarantine you,in case you got diseases from aliens.
These aliens plan to land and intermarry,but the time is not yet.
 
Pleadeans wanasema ukitazama nyota usiku,zile zinazotoa mwangaza wa rangi tofauti,k.m. vile manjano,kijani,blue,ni craft zao,siyo nyota.
Craft zao wanasema zinakwenda kila pahali instantly,muda unaotumika ni wa acceleration to the speed of light,na decceleration,from the speed of light.
 
UFO is for real nimeona discovery science kipindi kinaitwa close encounters
 
ki vipi mkuu umbo la mwanadamu ni zuri ??????????????????????????????????????? kulinganisha na nini? au nani???????? nipe vigezo vya uzuri wa umbo la mwanadamu ?
 
Me nimeona youtube wanam suscribe Ronaldinho "Gaucho the true allien". Therefore Gaucho are among of alliens.
 

Mkuu Monstgala/Mgalanjuka
hakika wewe jamaa ni mmoja kati ya watu ambao wanaifanya JF kuwa chuo bora cha ma-great thinker
kwa jinsi unavyotema knowledge huwa nabaki sina neno zaidi ya kusema ongeza tena
.....UBARIKIWE MKUU........

.made in mby city.
 
Lockheed Martin scientist on deathbed says aliens are real (VIDEO)
Published time: October 30, 2014 18:59
Edited time: October 30, 2014 20:57

http://cdn.rt.com/files/news/31/0c/70/00/aliens-lockheed-martin-pictures.si.jpg


Aliens, some as old as 200 years, are real and have visited Earth, a former Lockheed Martin senior scientist has claimed. In his final moments, he provided “photo evidence” while sharing his personal experiences of UFOs and extraterrestrials.

The controversial 33-minute video was made shortly before Boyd Bushman died on August 7, 2014. However, the footage has only recently emerged and is starting to garner widespread attention.

“I do have a top secret clearance,” he affirms at the beginning of the video. He goes on to state that incidents such as Roswell in 1947 – when a military Air Force surveillance balloon crashed – happened at the hands of aliens.

Bushman shared details about aliens, UFOs, and anti-gravity technology – which he says is being developed by US, Russian, and Chinese scientists at Area 51 (the US military facility).

In the video, Bushman is seen holding up second-hand “photo evidence” of aliens while describing them to viewers.

“They were approximately four and a half to five feet tall,” the former top aerospace scientist said. “They have three back bones. They’re actually cartilage,” he added, stating that they had fewer ribs than human beings. These aliens have fingers and toes like human beings.

He went on to state that their eyes and noses are different from humans, and that they are telepathic mind readers.

"They're able to use their own voice by telepathy to talk to you," he said. “You walk in the room with one of them, and all of a sudden you find yourself giving the answer to your question in your own voice.”

http://www.youtube.com/watch?v=VLkcM-bpdiA

According to Bushman, there are two different groups of aliens.

“It’s like a cattle ranch,” he stated, adding that some can be up to 230 years old. “One group is wranglers, and the others are rustlers - the stealers of cattle.”

“Wranglers” are “much more friendly and have a better relationship with us.”

Bushman seemed to have known the details of where and how those aliens live.

He claimed the creatures are inhabitants of a planet called Quintumnia. It is located 68 light-years away from Earth, yet it takes them only 45 minutes to travel to our planet. At home, they commute through telepathy, Bushman insisted.

The deceased scientist went on to say that he actually saw their homes because he gave the aliens a camera to take pictures with. It is, however, hard to say what those pictures contain because the images turned out blurry.

In another revelation, Bushman said there is a special flight path from space to Area 51, a mysterious base in central Nevada where it is believed that aliens and their spacecrafts were stored.

He added that there are Americans working on UFOs from outer space 24 hours a day, reported the Metro.

“With respect to the alien craft, we have American citizens who are working on UFOs 24 hours a day,” he stated.

However, the alien seen in Bushman's photographs is actually available to buy at Walmart, according to an investigation by Quebec station TVQC.
 
Nimekuwa nikisoma hasa majarida mbalimbali juu ya uwepo wa viumbe hawa watokao katika moja ya sayari zilizopo karibu na dunia yetu, baadhi wamewahi kuonekana China, Afrika kusini na pande za America. Je! Ni kweli viumbe hawa wapo? Au fictions za mataifa ya magharibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…