align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongNimekuwa nikifuatilia kwa makini michango ya wachangiaji wa mada hii. Nami naomba kuchangia kama ifuatavyo. /strong/em/span/divdiv align="center"br /span style="color:#3366ff;"emstrongKwanza kabisa naomba kumshukuru Rais wetu Mh. Jakaya Kikwete, kwa kutokuwa na pupa na hili suala hili la Shirikisho la Afrika Mashariki, na pia kwa namna ambavyo amejitoa muhanga katika kushughulikia masuala mbali mbali ya ufisadi na rushwa za viwango vikubwa ambavyo ndivyo vimekuwa vikwazo vikubwa vya maendeleo kwa Tanzania. Naomba kuzungumzia faida za Shirikisho kwa Kenya kama ifuatavyo./strong/em/span/divdiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongbr /span style="color:#000099;"Faida za Kenya katika Shirikisho/spanbr //strong/em/span/divdiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongspan style="font-size:130%;color:#000099;"Ardhi /spanbr /Kenya kuna uhaba wa ardhi kama ambavyo wachangiaji wengine wamezungumza na pia sheria zao za ardhi hazina manufaa kwa watu wa maisha ya kati na ya chini ambao ndiyo asilimia kubwa, yaweza kuwa asilimia 90 au 95. Hivyo basi kwa kuungana na Tanzania yaweza kuwa suluhisho la tatizo la ardhi kwao, kina Gitau na kina Kamau wataweza kumiliki ardhi Tanzania. Kwa upande mwingine watanzania hawataweza kumiliki ardhi Kenya kwa kuwa ardhi Kenya haipo.br /Faida kwa Kenya, hasara kwa Tanzania /strong/em/span/divdiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongbr / /div/strong/em/spandiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongspan style="font-size:130%;color:#000099;"Rasilimali Nyinginezo/spanbr /Ukiachilia mbali suala la ardhi, Tanzania inazo rasilimali nyingine kama vile vito na madini mbalimbali, sehemu kubwa za uvuvi, gesi ya Songo Songo n.k. Hizi ni rasilimali ambazo Kenya imekuwa ikizitizama kwa husuda kubwa. Kwa mtizamo wa Kenya in kwamba rasilimali hizi badala ya kumilikiwa na Tanzania peke yake, Kenya itapata upenyo wa kuwa na sauti na umiliki wa rasilimali hizi. Katika hili Kenya inategemea kufaidika zaidi.br /Faida kwa Kenya, hasara kwa Tanzaniabr //strong/em/span/divdiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrong/strong/em/span /divdiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongspan style="color:#000099;"Uingiaji wa Wageni Afika Masharikibr //spanKenya imekuwa ikijitangaza kwamba uwanja wa ndege wa Nairobi ni Gateway of East Afrika, hii ikiwa na maana ya lango la kuingilia Afrika Mashariki, na inataka kuhalalisha hilo katika Shirikisho la Afrika Mashariki. Tafsiri ya hili kiuchumi ni kwamba, wageni wanaokuja Afrika Mashariki watashawishiwa kuingilia Nairobi-Kenya. Wageni wanapoingilia Nairobi ina maana asilimia kubwa ya fedha ya kigeni waliyokuja nayo wataiacha Kenya kwa njia ya kulipia kodi za viwanja vya ndege, malazi usafiri n.k. Inawezekana pia nchi za Shirikisho zikashawishiwa kuchangia fedha kukuza lango hilo kuu la kuingilia Afrika Mashariki.br /Faida kwa Kenya, hasara kwa Tanzaniabr //div/strong/em/spandiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongspan style="font-size:130%;color:#000099;"Soko la Utaliibr //spanKama ilivyo kwa airport, sheria ya Shirikisho inahitaji vivutio vya utalii vitangazwe kwa pamoja. Hii ina maana kwamba Tanzania haitaweza kujitanganza kiutalii. Wageni wataambiwa Njoo Afika Mashariki kupitia Nairobi Kenya uone mbuga za wanyama za Afrika Mashariki Hii ina maana kwamba kampuni za utalii Kenya zitakuwa kwa kasi kubwa. Pesa yote ya utalii itokanayo na kodi za utalii, usafiri, malazi n.k. itabaki Kenya. Kampuni zetu za utalii Tanzania zitakufa, ajira ya watanzania kwenye sekta ya utalii itasinyaa na kufa. Sekta ya utalii itatawaliwa na wakenya, na kutokana na hulka yao ya ukabila hakuna mtanzania atakayeweza kupata ajira katika sekta hiyo.br /Faida kwa Kenya, hasara kwa Tanzaniabr //strong/em/span/divdiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrong/strong/em/span /divdiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongspan style="font-size:130%;color:#000099;"Ukuaji wa Viwanda Uchumi/spanbr /Kwa mazingira yaliyokuwepo sasa hivi, Kenya imeendelea sana kwa upande wa viwanda kuliko Tanzania. Kama tunavyofahamu viwanda vinaleta msukumo mkubwa katika maendeleo. Kwa sasa hivi Tanzania ni mojawapo ya masoko makubwa ya Kenya. Mwelekeo wa Shirikisho ni kwamba, viwanda Kenya vitaendelea kukua. Hii ina maana ya kukua kwa ajira Kenya. Tanzania itakuwa ni sehemu tu ya kuzalishia malighafi na kuwa soko la Kenya. Mara nyingi wenye viwanda ndiyo wenye kupanga bei za mali ghafi, hivyo malighafi ya Tanzania itakuwa inapangiwa bei na wakenya.br /Faida zaidi hapa ni kwa Kenya kuliko Tanzaniabr //div/strong/em/spandiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongspan style="font-size:130%;color:#000099;"Ajira /spanbr /Shirikisho litakuza ajira zaidi kwa Kenya na pia labda kwa Tanzania. Ila kama tunavyofahamu kwa Kenya, U-Kamau, Uluo, Ukikuyu, Ukamba, U-Wagitau Waigiri nikiwa na maana ya ukabila, umetawala fikra za wakenya. Hakuna mtanzania atakayeweza kupata ajira Kenya. Wengi mnakumbuka matukio mbali mbali ya watanzania wasomi waliowahi kushika nafasi nyeti Kenya na kurudishwa Tanzania wakiwa maiti. Ukweli ni kwamba ajira kwa mtanzania Kenya ni ndoto, haiwezekani. Sababu kubwa siyo kwamba watanzania hawana uwezo, ila ukabila umetawala sana Kenya. Wafute ukabila kwanza kabla ya Shirikisho. Na hii si kwa Kenya tu bali pia kwa majirani zetu wa Uganda, Rwanda na Burundi.br /Faida zaidi hapa ni kwa Kenya kuliko Tanzania /strong/em/span/divdiv align="center"emstrongbr / /div/strong/emdiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongspan style="font-size:130%;color:#000099;"Usalama wa Raia na mali zao Tanzania/spanbr /Kwa Tanzania mbali ya kuwa na hasara za kiuchumi bali pia kama tunavyofahamu kumekuwa na matukio mengi ya vitendo vya majambazi kutoka nchi za Kenya, Rwanda na Burundi. Matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama na amani hapa nchini. Matukio ya hivi karibuni ni pamoja na ujambazi wa kuvamia mabenki uliotokea katika benki za Moshi, CRDB Azikiwe Dar es Salaam, na NBC Ubungo. Uvamizi huo ulifanywa na majambazi waliokuwa wamesheheni zana za kivita kutoka Kenya. Matukio mengine ni pamoja na vitendo vya utekaji nyara magari sehemu za Kagera na Ngara. Watanzania tuwe macho na majirani wenye hulka za namna hii.br //strong/em/span/divdiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongspan style="font-size:130%;color:#000099;"Hasara kwa Tanzania /spanbr //strong/em/spanspan style="color:#3366ff;"emstrongEndapo Shirikisho litavunjika baada ya miaka ishirini ijayo nani atafaidika?br /Kwa uchambuzi niliofanya hapo juu, ni wazi kwamba, malighafi za Tanzania ukiachilia mbali mazao ya mashambani zitakuwa zimekwisha, viwanda nchini Kenya viatkuwa vimekuwa sana na ajira nyingi zitakuwepo Kenya, Tanzania itabaki kuwa soko tegemezi kwa Kenya.br /Faida kwa Kenya hasara kwa 099;"Faida kwa Tanzania/spanbr /Naomba kwa wale watanzania wenye uelewa zaidi watufahamishe faida za shirikisho kwa Tanzania kwa maana mimi binafsi sizioni.br //div/strong/em/spandiv align="center"span style="color:#3366ff;"emstrongspan style="font-size:130%;color:#000099;"Ombi kwa Gitau Waigiri na Kamaubr //spanHawa niliotaja hapa ni wachangiaji wa mada hii ambao wametumia kejeli kubwa kudhalilisha watanzaia pamoja na viongozi wao. Natumaini kwamba wachangiaji hawa pamoja na wakenya wengine wamekuwa wakifuatilia mada hii kwa karibu. Naomba watufahamishe Tanzania itafaidika vipi katika Shirikisho wakiainisha kipengele kwa kipengele kama nilivyoainisha hapo juu br ongOmbi kwa Idara ya Uhamiaji Tanzaniabr /Kumekuwa na wakenya ambao wameweza kujipenyeza kwenye soko la ajira Tanzania. Tunaomba, kabla maofisa wa uhamiaji hawajaanza kuwajibika katika wakati huu wa uwajibikaji wachunguze kwa makini hizo ajira, na kuona kama kuna umuhimu wa wakenya hao kuchukua nafasi hizo ambazo zinapunguza ajira kwa watanzania.;"Ombi kwa watanzania/spanbr /Tutafute namna ya kukuza elimu Tanzania, tuwekeze katika elimu ili tuweze kumiliki na kuendeleza rasilimali zetu. Tupige vita kwa moyo wote ufisadi na rushwa, kwani hivi ndivyo vikwazo vikubwa vya maendeleo, popote duniani. Athari za rushwa kwetu Tanzania tumeziona katika chaguzi za viongozi, zimesababisha kupata viongozi wasiokuwa sahihi, wizi mkubwa, mikataba mibovu, nk. hivi vyote vimeligharimu taifa na kudumaza maendeleo. Tupige vita ukabila na tuukumbatie umoja wetu. Tufanye kazi kwa bidii kubwa ili kukuza uchumi. / .......................................................................................................
Ingawa inasomeka kwa taabu, hiyo ni analysis nzuri kutoka Jambo blog, imefanywa na mtu mwenye akili nzuri, uache wanaotakan kuuza nchi. Wewe Smatta soma hiyo. But why can't you compete in your own country? Nakwambia, nilishasema, just come at your own risk. Sisi tunawajua nyinyi, kwanza ni watu wabaya, tabia mbaya, ukabila, ubaguzi, wizi, ulafi, sasa unaona mtakuwa na usalama nchi hii? Nenda mkachinjane kwenu kama mlivyofanya uchaguzi, you landless people. Soma hizo hoja za mdau wa Jambi Blog! Kama ukitaka kuelewa, usipotaka acha. Watu hamna ardhi wala uzazi wa mpango, mnataka kutujazia nchi na omba omba wenu. Tunao wa kutosha hata sisi.