Are you a man aged 33-40??

Updates: Maendeleo ni mazuri sana, nitafunga kupokea maombi soon
 
mie u maid hapana mwaJ. Labda kama kuna wasindikizaji wanaume pia.

Khaaa! Erotica na wewe! Kwani nani kasema wasindikizaji wanaume hawatakuwepo? Watakuwepo bana we kubali tu, wenzio ndio tunatengeneza timu ya harusi. Timu wala bado haijakamikika ushaanza kukataa majukumu unataka mpaka uhakikishiwe uwepo wa wanaume! Ndio maana Cool Gentleman alisema hukawii kuchenji! Haya pendekeza hao wanaume unaotaka wawe wasindikizaji.
 
Last edited by a moderator:
Daah Hutak Kisengeti kama mimi kinachojielewa 27aged haikutoshi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
nipo hapa mie
 
Asanteni saana, nimeshampata niliyekuwa nikimsaka, mwenye needs kama zangu, tunaomba tu iwe kheri na yote yaende salama, sipokei maombi tena kwa sasa asanteni saana, 'J' dear this is for u as requested! kweli jamii forums inatishaaa.
 
na kwa wengi mlioonyesha nia mnisamehe, msikate tamaa mtapata tu na mungu awajaalie sawa sawa na mahitaji yenu.
 
Cool Gentleman, you never know...just try your luck. Unaweza ukawa ndio haswa the right life partner wake.
 
Last edited by a moderator:
Mimi hapo kwenye age 45yrs lakini vigezo vingine swaga je nifanyeje
 
Asanteni saana, nimeshampata niliyekuwa nikimsaka, mwenye needs kama zangu, tunaomba tu iwe kheri na yote yaende salama, sipokei maombi tena kwa sasa asanteni saana, 'J' dear this is for u as requested! kweli jamii forums inatishaaa.

destiny1, I can't believe this...I planned to send my PM tomorrow afternoon. Nilikuwa naandika nini cha kutuma sasa mbona process imewahi kukamilishwa na hatukupewa deadline? Oooohh
 
destiny1, I can't believe this...I planned to send my PM tomorrow afternoon. Nilikuwa naandika nini cha kutuma sasa mbona process imewahi kukamilishwa na hatukupewa deadline? Oooohh
siku nyingine uwe unawahi bwana!
 
mmh vigezo na masharti kuzingatiwa

Kwani wewe ni Kibabu kweli? Cool Gentleman:sad:
 
Last edited by a moderator:
Asanteni saana, nimeshampata niliyekuwa nikimsaka, mwenye needs kama zangu, tunaomba tu iwe kheri na yote yaende salama, sipokei maombi tena kwa sasa asanteni saana, 'J' dear this is for u as requested! kweli jamii forums inatishaaa.

That was too fast. Usisahau kuimba wimbo wa 'unajibu maombi, nakuabudu Bwana'.

Mtapoingia stage nyingine mtujulishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…