Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Mambo vp wadau wa jamiiforums
Are you dealing with many units (Magari, Wanafunzi)? Unahisi wahasibu wako wanakuibia? Njoo PM nikupe solution kwa bei poa sana.
Kuna mzee mmoja alikuwa anamiliki kampuni ya clearing kule Tunduma mwaka 2013. Wakati ninakaa sehemu moja wanaita Mlowo kwa aunt yangu, kuna rafiki yangu, mtoto wa mwenye kampuni, aliniita akasema Felix njoo unisaidie ninahisi hawa wahasibu wanatupiga pesa ndefu kila mwezi.
Kampuni ya yule mzee ilikuwa inavusha magari halisi takribani 70 kila mwezi, lakini vitabu vilikuwa vinaonesha magari yanayovushwa ni 82 mpaka 86 sasa walichokuwa wanakifanya wahasibu wale ni kwamba gari moja ilikuwa inaombewe pesa mara mbili au tatu.
Yaaani unakuta gari yenye chasis number "YTEMP-100062711" imevushwa ipo Zambia ila baada ya wiki mbili watu wanaleta tena number ile ile kuombea tena pesa ya kuvushia gari mpakani.
Sasa unawezaje kukagua double entires kwa units zote 86 kwa kutumia macho ya binadamu ili kujua ipi imejirudia? Unaweza kweli? To cut a long story short, nilimsaidia sana huyu rafiki na baba yake katika kukamata gari zilizokuwa zinaombewa pesa zaidi ya mara moja.
Njoo PM nikupe maujanja ya formula ya Excel Sheet ya kukamata "double entries" zaidi ya 1000 kwa sekunde 5 tu kwa bei poa sana. Ukiwa mbahili hivyo unafikiri Soldier atakula wapi? Njoo PM mkuu.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.