KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Asante kwa taking your time to ask, nafanya kazi as trade finance specialist na nikona kampuni ya kupeana hizi guarantees from my partner banks ambazo zina correspondence relationships all over East Africa, ambapo if kama unatender Rwanda my partner bank inaweza kupea bid bond ama performance bond through KCB Rwanda.Mkuu japo umetumia lugha ya malkia...wewe ni taasisi ya fedha? Guarantee na LC za benki zinaaminika kwa sababu ya reputation, ukiachilia mbali rate zako kuwa ndogo, kuna sababu nyingine ya kumfanya mtu kuja kwako badala ya kwenda kwenye mabenki?
Ila ni kupongeze kwa hatua nzuri uliyofikia kwenye kupambana na changamoto za maisha.
Thank you, u seem to knw alot,wewe ni contractor ama banker?Ahsante mkuu. Kwa mujibu wa maelezo yako inaleta maaana. Mwanzo nilifikiria wewe ndio unatoa LC, Guarantee na Bond.
Mambo kama haya yakifanyika vizuri kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizopo, yatawasaidia sana wafanyabiashara, hasa wakati huu wa utandawazi na biashara za ushindani.
Nikutakie kila la kheri na mafanikio mema
I agree ,thank you,incase you find anyone related to this matter kindly recommend me.I am neither Chief, just like knowing some stuff related to flights doesn't make someone the pilot.
All in all, you elaborated your idea to the extent that any layman can understand.