muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 746
- 655
Tanzania imejaliwa vyanzo mbalimbali vya rasilimali moja wapo ni mito.maziwa na bahari. lakini kwa sasa changamoto mbalimbali ikiwemo uvuvi haramu,mabadiliko ya tabififa ya nchi na ongezeko la watu,mazao ya samaki toka kwenye vyanzo vya asili vimepungua na takwimu zinaonesha muda sio mrefu ufugaji wa samaki utakua njia pekee ya kupata samaki kwa uraisi. kwa kuanzia unaweza kifuga sato au pelege au kambale.na ukapata faida kiuchumi. kama una uhitaji wa mtaalamu wa ufugaji wa samaki kwa ajili ya kusimamia pond zako.basi umepata unaweza kuwasiliana na mimi kwa 0717451771.kwa garama nafuu na hauta jutia. only serius patners are invited.thanks and welcome