Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Jamani mdogo wangu [emoji24][emoji24][emoji24]Hahaa,
Huu uzi siyo wa brother SHIMBA YA BUYENZE kweli.!?
Unaweza itelekeza hii, halafu kwenye new ID ukafanya mambo yale yale, maana Bro hapo itakuwa sheikh ni yule yule ila tu kanzu ndiyo mpya..!!Jamani mdogo wangu [emoji24][emoji24][emoji24]
Repyutesheni yangu hapa JF ni mbaya sana sababu ya haya mambo. Nina mpango wa kuitelekeza hii ID kimoja tena soon. Mwaka kesho na mambo mapya wallahi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1645025
Hapana. Huwa sina tabia ya kupiga maktaimu. Ngoja mwaka mpya uanze. Wala hutajua kama ni mimi. Kawe na siku njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Unaweza itelekeza hii, halafu kwenye new ID ukafanya mambo yale yale, maana Bro hapo itakuwa sheikh ni yule yule ila tu kanzu ndiyo mpya..!!